CCM ni chama ambacho wengi wa vijana tumekuwa tukiponda sana kwamba ooh mafisadi, na mengineyo mengi na mimi sometimes natiwa majaribuni kuchukia chama lakini siwezi ile kuchukua hatua kuhama chama hiki kwa sababu bado nakipenda sana kwa misingi kiliyojiwekea yenye macho ya mbele.
Moyoni mwangu nashuhudiwa kwamba na uchaguzi ujao kitashinda kwa ushindi wa kishindo kwa sababu bado misingi yake haijavurugika, maadili ya chama yako tele, viongozi wanaojitambua, na wnachama mahili.
Nawashauri ndugu zanguni tuunge mkono chama chetu cha Mapinduzi. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!!!