Nashindwa kufurahia love

Nashindwa kufurahia love

Kumbe jimama tu!,wenzio tunamiliki mpaka vibibi,mtaani kwetu wananiita MZEE WA VIBIBI.Huna bibi?,nigee namba yake ya simu.
 
Umesema Ujazoea Kwenda Gest Kuzin Na Dem Ako Umezoe Kuzn Nae Ndan Kwako. Chamsing Hapo Nkuacha Kuzn Kwanza.
 
Hahaha!, I think some people are blssd kuwa vichwa maji aisee
 
KikulachoChako

Halafu mkuu kikulacho mimi katika sentensi ambazo mtu awe she au me hawez kuniconvince nazo ni " nimemkataa lakini haelewi" tusidanganyane bwanaa..mtu akikataliwa akajua amekataliwa kweli lazima ale kona...huyu mama jamaa anampa "come on" signs
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli huyu mmama anasumbua sana
 
Mtishie Kumripot Kwa Mumewe, Alafu Kuwa Makini Hiv Is Out There! Ukishindwa Kabisa Hama Mtaa,
 
Ungekuwa karibu ningekupa vibao viwili vya maana akili ikukae sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom