sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,070
- 48,209
Usiogope bwana. Tupo wengi mbona mimi naelekea miaka 30 sijawahi kuonja wala kugusa.
Nasubiri paka ndoa ifike.
Jiamini simama imara, upo sahihi.
Focus to your studies,
Acha peer pressuer group zinazokushawishi ufanye hiyo kitu.
Shika dini yako saana.
Nasubiri paka ndoa ifike.
Jiamini simama imara, upo sahihi.
Focus to your studies,
Acha peer pressuer group zinazokushawishi ufanye hiyo kitu.
Shika dini yako saana.