sababu kubwa ni kwamba software inawafikia watu wengi zaidi.
chukulia mfano app za google na Htc 10.
-htc akiuza simu 1 inamfikia mtu mmoja analipa mara moja mumemalizana akiuza sana ni simu milioni 1 na kila simu dola 600 mwisho wa siku ana mapato dola milioni 600
-app ya google inakuja na simu ya android zinauzika simu kama bilioni moja kwa mwaka, nenda playstore utaona app za google nyingi zimedownloadiwa zaidi ya mara bilioni 1 akiwa na app 20 na akipata kila app dola 1 tu basi ana dola bilioni 20 kwa mwaka. ili apate dola 1 kwa mwaka anahitaji umuingizie shilingi 6 tu kwa siku, hivyo ukiclick tangazo moja akapata shilingi 20 ujue hapo tayari umempa hela nyngi sanaa.
kuhusu bill gate yule jamaa mapato yake si microsoft tu ana hisa hadi cocacola na makampuni kibao. zaidi ya nusu ya utajiri wa bill gates hautokani na microsoft soma zaidi hii kampuni yake ya uwekezaji
Cascade Investment - Wikipedia, the free encyclopedia