Ukiona umeanza kuhisi hisia za kuwachukia wanawake ujue ndio umeanza kuelewa ukweli kuhusu wanawake na mapenzi kiujumla ila siku zitavyokwenda utakuwa normal kabisa ila utakuwa umejua nini cha kufanya kwa wakati sahihi kama mwanaume
Hii hali sio wewe tu hata mimi nilivyoingia JF kwa ID yangu ya zamani kabla nilikuwa napelekeshwa sana wanawake pia nilikuwa sintofahamu nyingi za kwanini ila baadae nilivyokaa sana JF nilianza kuchukia wanawake kwa sababu niyoyasoma kuhusu wanawake humu ndio yale ninayaona mtaani kwa asimia kubwa wala sio uongo japo wingine humu huja na stori za uongo
Kitu kinachopelekea wanaume wengi wakiingia humu huanza kuchukia wanawake ni ile hali ya kukutana na ukweli kuhusu wanawake inakuwa kama mtu aliyekuwa ameambiwa au ameoneshwa ukweli juu ya mtu aliemuamini sana na kujakugundua mtu huyo aliemuamini amemdanganya sana
Unajua vijana wa kiume wengi tumekua tumekua tukiaminishwa wanawake ni binadamu wema, mvumilivu,mpole,mwenye mapenzi ya dhati hata kwa mwanaume maskini๐๐,aneyeonewa, na akifanya makosa basi yamesababishwa na mwanaume yani jinsi jamii ilivyotuaminisha kuhusu wanawake ni uongo mtupu na hizi propaganda zinasambazwa sana kupitia tamthilia,dini humo makanisani,semina zile za mashuleni bila kusahau vile vitabu vya simulizi tulivyokua tunasoma o leval kwa ajili jibia mitiani karibia vyote maudhui yake yote vipo mlengo wa ferminist japokuwa vingi viliandikwa na wanaume ila ndio hivyo vinaongelea wanawake katka hali ya kuwa safisha sana tofauti na wanaume ambaye anaonekana kana kwamba ndio chanzo cha matatizo ila ukija kwenye ukweli halisi wanawake pia wana darkside zao kama tamaa,unyanyasaji,dharau,ubaguzi kwa kiasi kikubwa na maovu mengine tena yote wanafanya kwa akili zao wenyewe bila kusababishwa na mwanaume