Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,068
- 1,491
Sawa nawasubiriNgoja waje
Unaweza kusema hivyo hata mimi mwanzo nilielewa hivyo lakini inawezakana vipi kupata 7 see more kwa total views ya 350 ambapo viewers per account ni 177. Maana yake views mara mbili.Mbona ni jambo la kawaida kabisa, mtu mmoja anaweza kusababisha engagements 3 kwa wakati mmoja — akalike, akacomment, na akabonyeza hiyo "See More".
Mkuu hapo swali la kujiuliza ni je hao viewers wote wa hiyo post una uhakika wote wali engage kwa usawa?Unaweza kusema hivyo hata mimi mwanzo nilielewa hivyo lakini inawezakana vipi kupata 7 see more kwa total views ya 350 ambapo viewers per account ni 177. Maana yake views mara mbili.
Mmmmh! Sidhani ina maana hata watu wanao nifahamu nao wamepita kimyakimyaMkuu hapo swali la kujiuliza ni je hao viewers wote wa hiyo post una uhakika wote wali engage kwa usawa?
Vipi kama wengine ni wapitaji tu na hawakufanya chochote?
tena unaowafahamu ndio wachawi wakoMmmmh! Sidhani ina maana hata watu wanao nifahamu nao wamepita kimyakimya
Au sio! sema inafikirishatena unaowafahamu ndio wachawi wako
mimi nilitengeneza management system ya duka, ni website badae nikaongeza public page, ni catalog customers waone bidhaa zote na beizake.Au sio! sema inafikirisha
Noma sana mkuumimi nilitengeneza management system ya duka, ni website badae nikaongeza public page, ni catalog customers waone bidhaa zote na beizake.
Hii nilimtengenezea wife ili duka lake liwe smart, sasa akawa anashea link kwa wateja wanaokuja kununua na kwa watu wote anaowajua, mwanzo nilikuwa na count tu watu wanao visit website bila kujali wameangalia nini,
badae nikaweka trigger mteja aki view products fulani mimi naesabu viewed products, kuna marafikizake wife wana iphone wote nikamuambia wife wape link marafiki zako nione wataangalia nini?
kweli akawapo link, wote wali visit site ila hakuna hata mmoja alie view product hata moja. kilasiku naagalia ip address zote zilizoangalia bidhaa ni za Android tu iphone zina visit tu hakuna kuview
ndo maana nikakiambia wanaokujua ndo wachawi wako
Kuna ulazima wowote wa wao kuengage post yako?Mmmmh! Sidhani ina maana hata watu wanao nifahamu nao wamepita kimyakimya
Hamna ulazima ila bado nafsi inashindwa kukubalia na hii haliKuna ulazima wowote wa wao kuengage post yako?
Ulishawawekea sharti labda kwamba lazima wapite walike na ku-comment?
Utakubaliana nayo tu kadiri muda utakavyo zidi kwenda.Hamna ulazima ila bado nafsi inashindwa kukubalia na hii hali
Sawa mkuuUtakubaliana nayo tu kadiri muda utakavyo zidi kwenda.
Mkuu nimefanya simple test. Nimechukua account zangu nyingine mbili nika "like" na ku "see more" kwenye kila akaunti mbili engagement zimeongezeka kutoka 13 hadi 15. Ingekuwa ni hivyo kama unavyosema zingekuwa 17Utakubaliana nayo tu kadiri muda utakavyo zidi kwenda.
Tatizo ni kwamba , hizo clicks zote umezifanya kutokea kwenye device moja, algorithm ya FB ina namna yake ya kuhesabu engagement.Mkuu nimefanya simple test. Nimechukua account zangu nyingine mbili nika "like" na ku "see more" kwenye kila akaunti mbili engagement zimeongezeka kutoka 13 hadi 15. Ingekuwa ni hivyo kama unavyosema zingekuwa 17
Ni kweli nime notice ngoja niendelee what if kama nikifungua nikiwa nimewasha VPN au device mbili ila internet network mojaTatizo ni kwamba , hizo clicks zote umezifanya kutokea kwenye device moja, algorithm ya FB ina namna yake ya kuhesabu engagement.
Hili tatizo ni wengi sana wanalalamika.