Nashindwa kuelewa alimanisha nini

huyo mtoto si wa huyo jamaa kama mama wa mtoto alivyosema kwenda kupima DNA zitakuwa mbwebwe za kuhakikisha mwisho wa siku kupandishana pressure.
 
Mwalimu mwenyewe Burito hakuwa baba yake na bado akaitwa Nyerere. Mzee Burito akamezea tu mate. Naye, akiweza amezee asipoweza awachapishe lapa na mama yao.
 
Mwanamke alilia sana na mpaka sasa anajutia kosa hilo ila bado mwenziye analo
 
Litakuwa lilimponyoka tu mama wa watu...watoto sio wa kwako wanaume wanajua hili neno linavyokera
 
A person is more honest when angry.
 
Pay attention on words that someone is saying when is angry. 90% of them they are what she/he says they are.
 
Niliwahi kushauri wakati Fulani humu kuwa " ukiwa na hasira usiongee na ukifurahi sana usiahidi" sasa mmeyaona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…