UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,018
Hana uwezo nayo coz nilimwambia hiyo kitu na gharama zake.JE KIPI KILIMSUKUMA KUSEMA HIVYOD.N.A test. Ushawahi kuisikia?
Hasira hizo ni mbaya coz anampoteza mume huvi hiviHapo ni asilimia 49 za Mkemia. Inaweza ikawa ni hasira au ni kweli ila mwanamke akiwa na hasira hutumia maneno machungu ya kuumiza maana hana nguvu ya kupigana
HAPA NDO JAMAA KAPANGANGANIA SANAhakuna maneno ya ukwel kama yanayotamkwa out of anger.... nahis mke alimaanisha alichkisema ila sasa ni kaz ya mume kuthibitsha
Laki tatuKwan DNA ni kiasi gani?(gharama)
Ndo hivo sasa, hasira hasaraHasira hizo ni mbaya coz anampoteza mume huvi hivi