Nashindwa kudownload Pdf files

Joined
Mar 3, 2022
Posts
27
Reaction score
40
Ni muda sasa kila nikitaka kudownload file nashindwa. Nikigusa kwny pdf hakuna action yoyote. Naombeni msaada
 
Futa iliyopo then install upya
 
Ni muda sasa kila nikitaka kudownload file nashindwa. Nikigusa kwny pdf hakuna action yoyote. Naombeni msaada
Ukiomba msaada wa kufafanuliwa jambo jitahidi basi kidogo weka details.

1. Una download kutoka wapi (site gani).
2. Unatumia kifaa gani (simu, computer etc)
3. Unatumia browser gani
4........

Sasa ukiweka tu bila details hata mtu ambae angeweza kukusaidia anashindwa aanzie wapi.

Anyways Moderator JamiiForums msaidieni kuweka uzi jukwaa husika.
 
Kwenye app, na hata niki-log in kwa kupitia Web ya browser za chrome na safari bado inagoma.
 
Kwenye app, na hata niki-log in kwa kupitia Web ya browser za chrome na safari bado inagoma.

Mkuu mtu anayetaka kukusaidia anajikuta ana maswali mengi kweli kabla hajakusaidia kwasababu unadhani kila mtu analijua tatizo lako

Hebu funguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…