brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,393
Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM. Mimi ni mpenzi sana wa mpira na analijua hili. Kutokana na kazi siku za kawaida nipo bize sana na yeye bize na masomo, weekend nipo free na yeye pia
Tatizo: Huwa anakuja kunitembelea weekend jioni muda ambao mechi nyingi zinachezwa na mimi bila kucheki mpira nakosa raha kabisa na anafahamu. Muda mwingine mechi zikianza jioni ni mpaka usiku, na nikisema nisiende kuangalia mpira nikae nae muda mwingi nacheki update za matokeo ya mechi kwenye simu. Hali hii imekuwa ikimkera na kukasirika mpaka imefikia hatua ameniambia nichague moja yeye ama mpira. wote wanakamilisha furaha yangu.sijui chafanya hadi sasa
msaada waungwana