Nashukuru kws ushauri wako lkn tatizo ni kwamba kukopi inakopi lkn siwezi kuedit file na kulisave kwenye simu, vinginevyo naweza kuliedit kwenye pc tu ikilipeleka kwenye simu siwezi lifanyia chochote zaidi ya kulisoma tu, hapo mwanzo nilikuwa nikifanyia kazi kwenye simu nakwenda kusave kwenye pc.