Nashindwa kabisa kum "cheat" mke wangu, niko tofauti na wanaume wengine

Hello wakuu, hope mko poa.
Nimeamua ku share nanyi hii ishu kwa kutumia ID hii tofauti isiyofahamika na pia kwa sababu ni kitu ambacho nimeshindwa ku share kabisa na washikaji na marafiki zangu, kwani nahisi watanicheka sana.
Iko hivi, niko kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 8 sasa, nimekua sipati kabisa stimu za kumcheat mke wangu, yaani mimi na wale wanaume ambao ni wa mwanamke mmoja tuu...!!
Hata kabla sijamuoa mke wangu, nili date na wanawake wanne, na kati ya hao hakuna ambae nimewahi kumcheat hata mara moja. Yaani nikishakua na mahusiano na mwanamke mmoja nakua sina stimu kabisa za kugonga nje, hata iweje. Kazi zangu ni za kusafiri sana, lakini hata nikisafiri yaani kuchukua mwanamke kwenda kumgonga naona jau sana, na siwezi kabisa. Niliwahi kufosi nikabeba demu fulani, lakini sikua comfortable kabisa na hata mboo ilishindwa kusimama pamoja na yule mwanamke kuhangaika sana. Kiufupi mimi sijawahi kucheat kabisa, na huwa nashangaa sana washikaji wakiwa wanapiga story zao za kugonga nje, kwangu mimi wala sio kitu kinachonipa stimu kabisa, na huwa nabaki kushangaa tu ila siwezi kuwaambia washikaji maana naona watanicheka sana.
Huwa mara nyingi nikiwa na washikaji najifanya na mimi napiga story za kucheat as if na mimi nagonga sana nje, ila ni uongo mtupu. Sasa nawauliza wakuu, je hii ni kawaida? Kuna wanaume wenzangu humu ndani mpo kama hivi au mimi nipo abnormal?
Huwa nikisikia washikaji na wanawake wanasema hakuna mwanaume asiecheat najiona abnormal sana kwa kweli na inanisumbua.
Amin nakuambia, hutakuwa na kikwazo cha kuingia mbinguni. Endelea kuwa hivyo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha.....!! Kweli mkuu? Most men in this thread wananiona abnormal, na wengine wanasema nimelogwa.
Most men nilidhani virukanjia,Ndio manana hawakuekewo😂😂😂... Nilidhani umerogwa pia Ila nilivyosoma kwa kina background yako wewe hayo ni maumbile yako!na mpo wachache mno..... Tembea kwa kujiamini kabisaa
 
Asante sana mkuu..!!
 
Atakua amekuloga
Unanitisha mkuu. Na wengine ambao niliwa date kabla ya kuoa waliniloga pia..? Maana hata hao sijawahi kuwa cheat kabisa. Kiufupi mimi ni mwanaume wa mwanamke mmoja tu at any time t; Imekua hivyo maisha yangu yote tangu nianze ku date, hadi nimekuja kuoa imeendelea hivyo. Hili la kulogwa labda ningeamini kama hii ishu ingekua imeanza baada ya kumuoa huyu mke wangu.
 
Nahitaji kujua kama hii ni normal na kama kuna wanaume wenzangu humu ndani wako kama mimi, nahisi sio normal kwa mwanaume
Mimi ni mwenzako. Nina miaka 23 katika ndoa na sijawahi kutoka nje. Ni suala la hofu ya Mungu, si suala la kufanya kama fashion kwamba wanaume wote ni lazima ucheat. Muogope Mungu kwa kutotenda dhambi kuliko kufurahisha wanadamu. Ipo siku inakuja ya hukumu(Malaki 4:1-4)
 
Shukrani sana mkuu...!!
 
Hello wakuu, hope mko poa.
Nimeamua ku share nanyi hii ishu kwa kutumia ID hii tofauti isiyofahamika na pia kwa sababu ni kitu ambacho nimeshindwa ku share kabisa na washikaji na marafiki zangu, kwani nahisi watanicheka sana.
Iko hivi, niko kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 8 sasa, nimekua sipati kabisa stimu za kumcheat mke wangu, yaani mimi na wale wanaume ambao ni wa mwanamke mmoja tuu...!!
Hata kabla sijamuoa mke wangu, nili date na wanawake wanne, na kati ya hao hakuna ambae nimewahi kumcheat hata mara moja. Yaani nikishakua na mahusiano na mwanamke mmoja nakua sina stimu kabisa za kugonga nje, hata iweje. Kazi zangu ni za kusafiri sana, lakini hata nikisafiri yaani kuchukua mwanamke kwenda kumgonga naona jau sana, na siwezi kabisa. Niliwahi kufosi nikabeba demu fulani, lakini sikua comfortable kabisa na hata mboo ilishindwa kusimama pamoja na yule mwanamke kuhangaika sana. Kiufupi mimi sijawahi kucheat kabisa, na huwa nashangaa sana washikaji wakiwa wanapiga story zao za kugonga nje, kwangu mimi wala sio kitu kinachonipa stimu kabisa, na huwa nabaki kushangaa tu ila siwezi kuwaambia washikaji maana naona watanicheka sana.
Huwa mara nyingi nikiwa na washikaji najifanya na mimi napiga story za kucheat as if na mimi nagonga sana nje, ila ni uongo mtupu. Sasa nawauliza wakuu, je hii ni kawaida? Kuna wanaume wenzangu humu ndani mpo kama hivi au mimi nipo abnormal?
Huwa nikisikia washikaji na wanawake wanasema hakuna mwanaume asiecheat najiona abnormal sana kwa kweli na inanisumbua.

Mungu amekupenda sana bro
Hongera kwa kuweza kuipiga chenga dhambi inayotesa ulimwengu wote
 
Back
Top Bottom