"Maisha magumu jamani na mkee na watoto msaada jamani nikapambane hata mwenye connection ya Qatar,bahrain,Dubai hata canada."
Mkuu pole sana maana hayo maneno umeyaandika kwa hisia inaonekana. Binafsi naamini hakuna kinachoshindikana chini ya jua boss na hali kama hiyo yako ni suala la muda, uvumilivu na jitiada boss bila kusahau na mipango dhabiti.
Maisha hayapo fair mkuu, zaidi ya yote, ngoja wajuzi waje kama yeyote atakuwa na connection katika hayo maeneo aweze kukupa muongozo.
Binafsi naamini maisha popote, ukiwa na malengo na nia ya dhati kufikia hayo malengo, usiruhusu mazingira na hali yako kwasasa ku-determine uwezo wako boss.