Nashida na housing ya Nokia 2600

Nashida na housing ya Nokia 2600

Revola

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
1,542
Reaction score
1,364
Kichwa chajieleza, wadau mwenye housing hiyo tajwa hapo juu nashida nayo sn, nisimu ya zamani sana ila inaumuhimu sn kwangu ndio maana nahitaji housing hiyo. Nimeshatembea sn kuitafuta bila mafanikio, nimekwenda kariakoo na kwamafundi simu ila sijapata.
Naomba kusaidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu weka picha nina nokia mbovu hapa hata sijui ni aina gani...nitakupatia bure

love thé love or hâte thé love.....
 
weka picha mkuu....watu hawaijui hyo
Screenshot_20170721-064806.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm kama fundi simu nakupa ofa hiyo simu ikiharibika chochote mm nitakutegenezea bure.
 
Back
Top Bottom