Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,512
- 12,175
Sasa simba akakaae kundi moja na fisi mkuu itawezekana si fisi atamshawishi simba aache kuwinda abaki kula mizoga kama yeyeWatu wenye akili timamu hatutakiwi nchi hii.
Sasa simba akakaae kundi moja na fisi mkuu itawezekana si fisi atamshawishi simba aache kuwinda abaki kula mizoga kama yeyeWatu wenye akili timamu hatutakiwi nchi hii.
Hako hako mkuu hujakoseaunamaanisha kale kamama kafupi kakilaza?!
Kuingia kwenye mfumo ambao huna maamuzi ya mwisho lazima upwaye tuUkiwa nje ya mfumo unaweza kuzani Uko smart sana, Ila Ukipewa kazi bado impact yako itakua close to 0.
Muulizeni elon musk yaliyo mkuta huko IKULU 😅 Akaishia kusema "The government is unfixable"