holypotato
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 211
- 250
Amesahau kuwa ni raia wa china! Nchi yenye chama rafiki!Ukishindwa kesi Bongo wakati una hela, basi wewe ni pimbi! Usimlaumu Pombe wakati system yote imeoza.
Check my signature below :A S thumbs_down:!
Habari kubwa kwenye media kwa sasa ni kushinda kesi kwa Wachina &WaVietnam waliokamatwa kwa kile kilichodaiwa uvuvi haramu, mwaka 2009 maarufu kama "samaki wa Magufuli"
Freemedia wanaripoti hivi;
" MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli' na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.
Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.
Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na kushtakiwa upya kwa mashtaka hayo hayo yaliyofutwa.
Washtakiwa hao walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uvuvi haramu katika Ukanda wa Uchumi wa Tanzania."
Ningekua Rais wa nchi hii ningemfukuza kazi Magufuli na kumshtaki mahakamani. Alichofanya ni ujinga wa kiwango cha juu kupata kutokea tangu enzi za Pontio Pilato.
Huwezi kufanya siasa kwenye mustakabali wa maisha ya watanzania ili tu upate umaarufu.
Alikuja na Mbwembwe za kukamata meli ya waVietnam, kuwapeleka mahakamani na kuwanyang'anywa samaki wao.
Matokeo yake ni kuwa mahakama imeshindwa kuwatia hatiani. Hivyo wameachiwa huru na Mahakama imeagiza tuwalipe meli yao na samaki zao, vyote vikikadiriwa kuwa jumla ya Tsh.Bil 27.
Meli yenyewe nasikia ilizama. Yaani baada ya kutafuna samaki tukazamisha meli.
Habari zinasema Kuzama kwa meli hiyo kunatokana na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kushindwa kuitunza tangu ilipokamatwa Machi 8, 2009 ikiwa na tani 293 za samaki aina ya Jodari wanaodaiwa kuwavua katika Bahari ya Hindi ukanda wa kiuchumi wa Tanzania (EPZ).
Lakini hata hao samaki hatukuwafaidi maana waliishia kugawanywa hovyohovyo tu. Samaki hao wanaokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi bilioni mbili wote waligawiwa katika taasisi mbalimbali baada ya Magufuli kudai kuwa Serikali haiwezi kufanya biashara.
Bili.27 tunazotakiwa kuwalipa hao WaVietnam ni fedha nyingi sana. Ni sawa na kulipia mikopo wanafunzi 57,446 (kwa semister moja) au kulipa madai yote ya waalimu nchi nzima.
Imeripotiwa kuwa mwaka huu wanafunzi zaidi ya 28,000 watakosa mikopo kwa sababu serikali imedai haina hela. Lakini hela hizi za kuwalipa wa-Vietnam zingetosha kuwalipia wanafunzi wote waliokosa mkopo mwaka huu na ikabaki chenchi ambayo ingetosha kulipia madai ya waalimu wote nchini.
Lakini hayo yameshindwa kufanyika kwa kosa la mtu mmoja. U did wrong for the expense of your country?? This is very unfair.
Uliingize taifa hasara, kwa makosa yako mwenyewe?? Watoto wetu wakose mkopo, waalimu wasilipwe, dawa zisinunuliwe mahospitalini kisa pesa zimeenda kulipia kesi ya masamaki ya Magufuli.
Masamaki yenyewe tulishindwa kuyapreserve yakaishia kuchina, mwisho wa siku tukagawa kwa magereza na shule za sekondari. Sasa chakula kilichotumika kulisha wafungwa ndo tunakilipia bilioni 27??
Nadhani Maghufuli ashtakiwe... or hizi hela azilipe yeye na familia yake, si kuwabebesha mzigo watanzania kwa kosa alilolifanya binafsi.
JIPU LIMEPASUKA, SIWEZI KUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI.!!
**NB: haya ni mawazo yangu tu.!
Habari kubwa kwenye media kwa sasa ni kushinda kesi kwa Wachina &WaVietnam waliokamatwa kwa kile kilichodaiwa uvuvi haramu, mwaka 2009 maarufu kama "samaki wa Magufuli"
Freemedia wanaripoti hivi;
" MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa samaki wa Magufuli na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.
Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.
Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na kushtakiwa upya kwa mashtaka hayo hayo yaliyofutwa.
Washtakiwa hao walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uvuvi haramu katika Ukanda wa Uchumi wa Tanzania."
Ningekua Rais wa nchi hii ningemfukuza kazi Magufuli na kumshtaki mahakamani. Alichofanya ni ujinga wa kiwango cha juu kupata kutokea tangu enzi za Pontio Pilato.
Huwezi kufanya siasa kwenye mustakabali wa maisha ya watanzania ili tu upate umaarufu.
Alikuja na Mbwembwe za kukamata meli ya waVietnam, kuwapeleka mahakamani na kuwanyang'anywa samaki wao.
Matokeo yake ni kuwa mahakama imeshindwa kuwatia hatiani. Hivyo wameachiwa huru na Mahakama imeagiza tuwalipe meli yao na samaki zao, vyote vikikadiriwa kuwa jumla ya Tsh.Bil 27.
Meli yenyewe nasikia ilizama. Yaani baada ya kutafuna samaki tukazamisha meli.
Habari zinasema Kuzama kwa meli hiyo kunatokana na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kushindwa kuitunza tangu ilipokamatwa Machi 8, 2009 ikiwa na tani 293 za samaki aina ya Jodari wanaodaiwa kuwavua katika Bahari ya Hindi ukanda wa kiuchumi wa Tanzania (EPZ).
Lakini hata hao samaki hatukuwafaidi maana waliishia kugawanywa hovyohovyo tu. Samaki hao wanaokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi bilioni mbili wote waligawiwa katika taasisi mbalimbali baada ya Magufuli kudai kuwa Serikali haiwezi kufanya biashara.
Bili.27 tunazotakiwa kuwalipa hao WaVietnam ni fedha nyingi sana. Ni sawa na kulipia mikopo wanafunzi 57,446 (kwa semister moja) au kulipa madai yote ya waalimu nchi nzima.
Imeripotiwa kuwa mwaka huu wanafunzi zaidi ya 28,000 watakosa mikopo kwa sababu serikali imedai haina hela. Lakini hela hizi za kuwalipa wa-Vietnam zingetosha kuwalipia wanafunzi wote waliokosa mkopo mwaka huu na ikabaki chenchi ambayo ingetosha kulipia madai ya waalimu wote nchini.
Lakini hayo yameshindwa kufanyika kwa kosa la mtu mmoja. U did wrong for the expense of your country?? This is very unfair.
Uliingize taifa hasara, kwa makosa yako mwenyewe?? Watoto wetu wakose mkopo, waalimu wasilipwe, dawa zisinunuliwe mahospitalini kisa pesa zimeenda kulipia kesi ya masamaki ya Magufuli.
Masamaki yenyewe tulishindwa kuyapreserve yakaishia kuchina, mwisho wa siku tukagawa kwa magereza na shule za sekondari. Sasa chakula kilichotumika kulisha wafungwa ndo tunakilipia bilioni 27??
Nadhani Maghufuli ashtakiwe... or hizi hela azilipe yeye na familia yake, si kuwabebesha mzigo watanzania kwa kosa alilolifanya binafsi.
JIPU LIMEPASUKA, SIWEZI KUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI.!!
**NB: haya ni mawazo yangu tu.!
Hiyo ndiyo mantiki kwa ujumla mahakama yote imeoza kwa rushwa ni bure kabisa.
tanzania haina wanasheria hao ni maboga tu. Haiwezekani kila kesi tunashindwa
Wewe pimbi ulichoandika hapo nilipobold ndo nini?Ila kwa taarifa yako soma pia mwanachi,wewe badala ya kuchangia hoja kwa point unakuja na makinyesi yako hapa.Nchi inazidi kufilisika,umaskini ukija kwa kasi na maradhi yanayosababishwa na CCM na nyie vibaraka wake ww unaleta mchezo!NyambafHebu weka jina media hizo kama natujakutana na Tanzania Daima au Nipashe
Uongozi wa sasa wa Sirikali ya Tanzania unastahili kuingizwa kwenye maajabu ya Dunia;
(a) Waziri Mwanasiasa kakamata wavuvi haramu, hapa tunafahamu kila Wizara kuna Wanasheria je walimshauri vibaya?
(b) Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambayo ina wajibu wa kuishauri Serikali nayo ili jishauri kinyeji sio Kisheria?
(c) Ofisi ya Mwendesha Mashatka ya Jinai wa Tanzania nayo ili shauriwa vibaya?
(d) Mawakili wa Serikali walio andaa Hati ya/za Mashtaka nao ni mbumbubu wa Sheria?
(e) Wezi wa Samaki wanashinda Kesi kwa " Nolle prosequi" nchi inapata hasara ya Mabilioni/Matrilion RAHISI ana mpa zawadi DPP kwa kazi nzuri ya kushindwa Kesi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu?
(f) Sina uhakika kama Katiba Mpya tarajiwa ina IBARA ambazo zinatupa wananchi mamlaka kufukuza Kazi na kuwashtaki Viongozi Wezi, Wababaishaji, Wahuni, Mafisadi na wachumia tumbo?
(g) Huu WIZI, USHENZI NA UPUUZI ufikie mwisho ili wanaofanya haya mambo walipe wenyewe. Ebooooo nyambafu woote mlio husika katika mchongo wa kijinga kiasi hiki
Mkuu hapo nilipokoleza hiyo ofisi haina kitu kwani likubwa lenyewe ndo lile linatishia kuwapiga watu na kuwachinja kila linapozidiwa na hoja kama ilivyotokea majuzi huko Dom!
acha pumba fa.la wewe. yaana magufuli na kujitahidi kote hivi kulitumikia taifa na kwa uzembe uliopindukia wa mahakimu/majaji wetu unataka tena afanyweje? you are not serious.