mwandagoo
Senior Member
- Jan 14, 2017
- 195
- 83
Serikari inapoteza nguvukazi kwakasi kubwa kwa sababu ya madawa ya kulevyo hivi kwanini wabunge wetu wasilete mswada wa kunyonga walamba na wauza UNGA wakifanya hivyo asilimia 95 watapunguza tatizo lakini wakipambana na wauza unga tu watapunguza asilimia 45 tatizo litakuwa linaendeleaaa!