Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,387
- 11,529
Bar kusiwe na parking... Watu waende bila magari wanyweeeeeeee wakizidiwa waite usafiri uwarudishe kwao. Hii itasaidia ajali zinazotokana na ulevi. Mtu anakunywa then ana drive....
Natizama hapa jamaa kadhaa wameshaanza kulewa muda huu... Mmoja amening'iniza funguo kiunoni (atakuwa mchaga,msukuma au mzaramo) sisi wengine hatufanyi hivyo.
Mi nakunywa hii beer ya 8 naanza kuhisi kizunguzungu.ila funguo zangu wala sioneshi kama wengine. Huwa nikilewa najikokota ili mradi nifike kwenye gari then naendesha. Sasa hapo usije rogwa ukanichomekea. Nakubangua....huwa nikilewa nikiwa naendesha sipendi mambo ya ovyo kabisa barabarani.
Mi nashauri hivyo watu waende bar wakanywe wakitosheka waite usafiri warudi kwao. Kama hairuhusiwi kunywa na kuendesha gari zile parkings zimewekwa pale kwa ajili ya nini?
"Waiter..... Lete Mzinga mmoja... Hizi beer zenu mme dilute? Mbona kama soda tu?"