Nashauri watu wasiende bar na vyombo vya usafiri, wakodi au watumie usafiri wa Umma

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,410
Bar kusiwe na parking... Watu waende bila magari wanyweeeeeeee wakizidiwa waite usafiri uwarudishe kwao. Hii itasaidia ajali zinazotokana na ulevi. Mtu anakunywa then ana drive....

Natizama hapa jamaa kadhaa wameshaanza kulewa muda huu... Mmoja amening'iniza funguo kiunoni (atakuwa mchaga,msukuma au mzaramo) sisi wengine hatufanyi hivyo.

Mi nakunywa hii beer ya 8 naanza kuhisi kizunguzungu.ila funguo zangu wala sioneshi kama wengine. Huwa nikilewa najikokota ili mradi nifike kwenye gari then naendesha. Sasa hapo usije rogwa ukanichomekea. Nakubangua....huwa nikilewa nikiwa naendesha sipendi mambo ya ovyo kabisa barabarani.

Mi nashauri hivyo watu waende bar wakanywe wakitosheka waite usafiri warudi kwao. Kama hairuhusiwi kunywa na kuendesha gari zile parkings zimewekwa pale kwa ajili ya nini?

"Waiter..... Lete Mzinga mmoja... Hizi beer zenu mme dilute? Mbona kama soda tu?"
 
Tayari umelewa ukayakumbuka chosen sukuma, chaga na zaram ambao ndo mabingwa kuzaa sana ukanda wa kusin mwa jangwa la sahara.

Usiwe unatushobokea, utapelekewa moto popote itaingia.
 
Wazaramo maneno na mikwara mbuzi mingi sana... Huwa tunawagongea sana mademu zenu sababu 1. Hamna pesa 2. Mpo dhaifu 3. Hamna Elimu. 4. Mna upungufu wa nguvu za kiume

Nyie huwa mnaweza maneno na mikwara mbuzi tu....hamna kitu.
 
Uko wapi na mm hii ndo mida Yangu ya kumwagilia Figo .
Sisi Ni waleviiii.......
 
Back
Top Bottom