Nashauri wanasheria wamshtaki Makonda kwa udhalilishaji na kauli zisizo na maadili kwa watumishi

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Wana jamvi

Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam anona analewa madaraka na kukiuka maadili ya umma kwa kuwatolea maneno ya unyanyasaji na udhalilishaji watumishi wa umma mfano alimdhalilisha afisa Ardhi wa
manispaa kinondoni Bi Rehema Mwinuka kwa kusema" hawa ndio vichaa tunaohangaika nao tokaa" na maneno mengine ya udhalilishaji, naomba aitwe kwenye sekretariate ya maadili ya utumishi wa umma,Aidha
namuomba taasisi ya sheria na jinsia akina Mh Bi Hellen Kijo- bisimba amfungulie mashtaka ili Makonda aweze kuheshimu watumishi wa umma
 
Back
Top Bottom