blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 10,515
- 12,697
Kwa nia nzuri. Nashauri mamlaka husika. Wanafunzi hawa waachwe wamalize shule salama.
Nafaham ni taratibu za shule nyingi kufanya hivyo pindi tu wanafunzi wanaporejea shule. Kwa mazingira ambayo janga hili limesababisha kuwapima itakuWa ni kuwaongezea mzigo mwingine wa mawazo na huenda wakashindwa kutulia kwenye mitihani yao. Wana siku 26 tuu.
Sina kiherehere... Ila kuna baadhi ya shule huwa zina viherehere vya kuwasumbua watoto.
Tuwaache Wamalize. Mkipima mtajuta.
By the way Wizara ilishakiri. PREGNANCY TEST TO SECONDARY STUDENTS IT IS NOT MANDATORY.
Karibuni kWa maoni.