bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,385
- 2,587
Watanzania tuamke na tuachane na ile dhana kwamba Elimu ni ufunguo! Wengi wetu tumepotoka kwa kukariri na kubaki kuwanyoshea vidole watoto wanao tega kwenye masomo. Zama zimebadilika! tuko katika nyakati ambazo yale yote tulizani ni kweli sio kweli tena mifumo yetu yote ya kijamii, kiuchumi ipo kudondoshwa na kuja mifumo mipya kabisa.
Huenda hawa vijana tunaowaona watoro wamehisi jambo ambalo linakuja mbeleni. Hivyo hamna haja ya kusoma wakati hamna sehemu yoyote watakayotumia hiyo elimu ya kale katika nyakati mpya.
Ukiachilia ukosefu wa ajira kwa wasomi wetu bado elimu inayotolewa huko mashuleni na vyuoni imepitwa na wakati kabisa. Hivyo haina maana kusoma.
Zama hizi hakika ni za ajabu sana, kazi za maana kama udaktari, uhandishi zimekuwa kituko mbele ya fani mpya za influencer huko kwenye majukwaa ya instagram na tiktok katika kutengeneza pesa. Na hapa ni mwanzo tuu hayo ya mbeleni mbona wasomaji wataisoma Number.