The word Watoro (singular Mtoro, from Swahili language verb kutoroka "to escape") references escaped slaves from West Africa during the 19th century. They established themselves in Tanzania, Kenya and Somalia.
Nimesikitika kusikia Spika akilalamika kuna wabunge watoro wakiwamo hawa waliotoroka na kuishangilia timu ya taifa morocco hapo ni kwamba baada ya kusikia kuna ndege ya bure ndio wakatoroka .
Maana yake wanahujumu pesa za walipa kodi au nchi .
Hivi nchi kama china mtu anaweza kuchezea...
Watanzania tuamke na tuachane na ile dhana kwamba Elimu ni ufunguo! Wengi wetu tumepotoka kwa kukariri na kubaki kuwanyoshea vidole watoto wanao tega kwenye masomo. Zama zimebadilika! tuko katika nyakati ambazo yale yote tulizani ni kweli sio kweli tena mifumo yetu yote ya kijamii, kiuchumi ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.