Nashauri vijana watoro mashuleni wasibuguziwe

Nashauri vijana watoro mashuleni wasibuguziwe

We ni debe tupu futa kwanza ujinga, elimu haipimwi Kwa wingi wapesa bali huduma za kitaalamu Kwa jamii.

Ingekua pesa ni Kila kitu Kwann usiajiri lasaba wenzio?

Elimu ni ujuzi na msaada Kwa jamii Jua hili
Ila kwa sasa inaonekana kama haijaliwi na dola
 
Watanzania tuamke na tuachane na ile dhana kwamba Elimu ni ufunguo! Wengi wetu tumepotoka kwa kukariri na kubaki kuwanyoshea vidole watoto wanao tega kwenye masomo. Zama zimebadilika! tuko katika nyakati ambazo yale yote tulizani ni kweli sio kweli tena mifumo yetu yote ya kijamii, kiuchumi ipo kudondoshwa na kuja mifumo mipya kabisa.

Huenda hawa vijana tunaowaona watoro wamehisi jambo ambalo linakuja mbeleni. Hivyo hamna haja ya kusoma wakati hamna sehemu yoyote watakayotumia hiyo elimu ya kale katika nyakati mpya.

Ukiachilia ukosefu wa ajira kwa wasomi wetu bado elimu inayotolewa huko mashuleni na vyuoni imepitwa na wakati kabisa. Hivyo haina maana kusoma.

Zama hizi hakika ni za ajabu sana, kazi za maana kama udaktari, uhandishi zimekuwa kituko mbele ya fani mpya za influencer huko kwenye majukwaa ya instagram na tiktok katika kutengeneza pesa. Na hapa ni mwanzo tuu hayo ya mbeleni mbona wasomaji wataisoma Number.
We inawezekana umetumwa na yule mwovu(ibilisi), maneno ya mwenyenzi Mungu yanatuambia "mtafute sana elimu angalia usimwache akaenda zake maana yeye ni chanzo cha uzima wako" we bila shaka ni mchawi maana uchawi malengo yake ni kuharibu, kutesa na kuua, unataka kutuharibia vijana wetu we bwege. Bd tuko nyuma sana kuliko wenzetu wa dunia ya kwanza bado bila ht aibu unaandika huu upuuzi? Pumbaavu!
 
UNASOMA HD PHD UNAKUJA KUAJIRIWA NA LA SABA NANI MSOMI HAPO
Huelewi ht maana ya elimu. Elimu ni huduma, sasa tajiri kajenga hospitali asikuajiri km daktari? Au nyie neno ajira mnaichukuliaje, binadamu mwenye elimu na ujuzi ni rasilimali ghali kuliko pesa. Kinachokufanya uandike hivi ni ujinga ulionao.
 
We inawezekana umetumwa na yule mwovu(ibilisi), maneno ya mwenyenzi Mungu yanatuambia "mtafute sana elimu angalia usimwache akaenda zake maana yeye ni chanzo cha uzima wako" we bila shaka ni mchawi maana uchawi malengo yake ni kuharibu, kutesa na kuua, unataka kutuharibia vijana wetu we bwege. Bd tuko nyuma sana kuliko wenzetu wa dunia ya kwanza bado bila ht aibu unaandika huu h
Huyo Ibilisi simfahamu nipate Number au location yake nimfwate.

Point kama zako ndizo zinazidi zihirisha wabongo hatuitaji tena elimu wala kukimbizana kuwahi Number mashuleni.
 
Back
Top Bottom