Serikali iboreshe public transport ili hawa vijana waondoke. Kiukweli hawa watu nahisi hata kichwani wana matatizo ya akiliKuna mambo inapaswa huyaelewe kiundani..
ukisema kuwaondoa.. kabisa unaweza sababisha tatizo katika jamii
1-WATU WASIO NA AJIRA WATAONGEZEKA
2-WIZI/UJAMBAZI /MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA YATAZIDI..yote hayo huwa yanasababishwa na mtu kukosa shughuli ya kufanya
3-serikali itakosa mapato kutokana hizi pikpik zinatumia mafuta hivyo jinsi mafuta yanavyouzwa na serikali inapata mapato pale.. ukiachilia mbali vibali
4-shughuli zitadorola sana kwani wafanyabiashara wengi wanatumia bodaboda kutuma mizigo sehem mbalimbali..
5-usalama wa RAIA utakuwa wa hali duni.. kwani kuna maeneo daladala hazifiki hivyo bila bodaboda inamaana utembee.. hivyo watu watakabwa au kubakwa au kuuliwa..
mambo ni mengi.. cha kushauri labda waanze kuwasajili kama usajili wa madereva wa uber.. kuhusu cheti cha tabia njema.. pia kuwepo na system ya kuwa limit.. pia wawe na IDambayo inatambulisha kituo chake kinachotambulika na jeshi la polis hivyo akifanya kosa ni rahisi kumshtaki
no way out ukiboresha miundombinu haitasaidia chochote zaidi ya kuongeza matatizo tu.. hizi bodaboda zimewafanya watu hasa vijana wawe bize kujitafutia kipato.. embu fikiria ni boda boda wangapi wapo wanafanya kazi?? alaf fikiria hilo kundi la watu waje waishi mtaani bila ajira.. je watafanya kazi gani?? ukizingatia hata hizo bodaboda sio zao... je mtaj wanapatawapi?? wengine wana familia.. si ndio mwanzo wa WIZI/UKABAJISerikali iboreshe public transport ili hawa vijana waondoke. Kiukweli hawa watu nahisi hata kichwani wana matatizo ya akili
Kisingizio ni ajira ajira. Kama hawawezi kufanya kazi kwa ustaarabu si wakalime, yaani hii mijitu sijui huwa inawaza nini kichwani, unakuta mtu anaendesha kwa kuyumba, mara ahame tu bila utaratibu ila sasa umgonge ndio unaweza kuwish kwanini hela ulizonunulia gari, hukuinvest kwenye kitu kingineno way out ukiboresha miundombinu haitasaidia chochote zaidi ya kuongeza matatizo tu.. hizi bodaboda zimewafanya watu hasa vijana wawe bize kujitafutia kipato.. embu fikiria ni boda boda wangapi wapo wanafanya kazi?? alaf fikiria hilo kundi la watu waje waishi mtaani bila ajira.. je watafanya kazi gani?? ukizingatia hata hizo bodaboda sio zao... je mtaj wanapatawapi?? wengine wana familia.. si ndio mwanzo wa WIZI/UKABAJI
Wana nunulia wapi bange?Kabla ya kuanza kazi hukusanyika na kuvuta bangi
Hii kampuni ya simu ina mambo mengi sana , hadi kwenye boda boda inahusika , duuuhWanasaidia sana kuwahi kwenye mishe mishe. Nafikiri TIGO waongezwe barabarani ili kukagua leseni
Mitaani zimejaa, na maafande wanawajuaWana nunulia wapi bange?
Kwahiyo maafande wanawajua wanaouza bange? Ni mitaa gani hiyo ?Mitaani zimejaa, na maafande wanawajua