Nashauri tuungane kukataa kusapoti kazi, biashara za Wasanii Machawa wa Kisiasa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

Kwa muda sasa nimefuatilia mwenendo wa wasanii wetu hasa kipindi hiki ambacho joto la uchaguzi Mkuu limepamba moto.

Sina shida na msanii yeyote kuonesha mlengo wake wa kisiasa huo ni uhuru wa mtu binafsi. Ila kinachokera na kuumiza ni pale msanii anapogeuka kuwa CHAWA wa Kisiasa, anapotumika kupamba sura ya Watawala, kuwa propaganda machine licha ya ukweli wa hali ya maisha ya wananchi, na kutetea mfumo.

Soma: Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

Wasanii hawa hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya. Wamejijengea kiburi kwa kuamini kuwa nguvu waliyonayo ya ushawishi ni silaha ya kupindisha ukweli. Na tusisahau, hiyo nguvu waliipata kupitia sisi mashabiki.

Ni sisi tuliowapa views, subscribers, likes, downloads na kutokea kwenye matamasha yao. Sasa basi, sisi pia tuna uwezo wa kuwatupa. Tuwakatae bila shari bali kwa msimamo. Tusisapoti kazi zao, biashara zao pia na kila kitu kinachowahusu.

Wakipoteza mashabiki, watakosa ushawishi na Kiburi kitaisha. Na hapo watatambua kuwa sanaa si chombo cha kutumikia mabwana, bali ni sauti ya watu.

Kama vipi Tuungane. Tuseme hapana kwa uchawa wa kisiasa wa wasanii huku Maisha ya Wananchi yakiwa Magumu.
 
kinachokera na kuumiza ni pale msanii anapogeuka kuwa CHAWA wa Kisiasa, anapotumika kupamba sura ya Watawala, kuwa propaganda machine licha ya ukweli wa hali ya maisha ya wananchi, na kutetea mfumo
Sisi raia ndio tumewafanya kuwa maarufu na kufanikiwa kwenye sanaa zao kwa sapoti zetu lakini baada ya kulamba asali wanatugeuka na kuwa adui tukipambania masuala ya msingi yenye maslahi ya wananchi.

Hawahawa wakiumwa na kupata shida kwenye kazi zao wanakuja kutomba misaada kwa kuwachangis, tunawezaje kuwasaidia matapeli wanaoshiriki kutuumiza? Kwakweli asiyejali masuala ya wananchi tumkatae kwa wivu mkubwa
 
Wakuu!

Kwa muda sasa nimefuatilia mwenendo wa wasanii wetu hasa kipindi hiki ambacho joto la uchaguzi Mkuu limepamba moto.

Sina shida na msanii yeyote kuonesha mlengo wake wa kisiasa huo ni uhuru wa mtu binafsi. Ila kinachokera na kuumiza ni pale msanii anapogeuka kuwa CHAWA wa Kisiasa, anapotumika kupamba sura ya Watawala, kuwa propaganda machine licha ya ukweli wa hali ya maisha ya wananchi, na kutetea mfumo.

Soma: Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

Wasanii hawa hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya. Wamejijengea kiburi kwa kuamini kuwa nguvu waliyonayo ya ushawishi ni silaha ya kupindisha ukweli. Na tusisahau, hiyo nguvu waliipata kupitia sisi mashabiki.

Ni sisi tuliowapa views, subscribers, likes, downloads na kutokea kwenye matamasha yao. Sasa basi, sisi pia tuna uwezo wa kuwatupa. Tuwakatae bila shari bali kwa msimamo. Tusisapoti kazi zao, biashara zao pia na kila kitu kinachowahusu.

Wakipoteza mashabiki, watakosa ushawishi na Kiburi kitaisha. Na hapo watatambua kuwa sanaa si chombo cha kutumikia mabwana, bali ni sauti ya watu.

Kama vipi Tuungane. Tuseme hapana kwa uchawa wa kisiasa wa wasanii huku Maisha ya Wananchi yakiwa Magumu.
Dogo moshi haukumbatiwi!
 
Kwan dfn ya chawa ni ipi..chawa ni yule ana e support ccm tu..uki support chadema we so chawa.
 
Sisi raia ndio tumewafanya kuwa maarufu na kufanikiwa kwenye sanaa zao kwa sapoti zetu lakini baada ya kulamba asali wanatugeuka na kuwa adui tukipambania masuala ya msingi yenye maslahi ya wananchi.

Hawahawa wakiumwa na kupata shida kwenye kazi zao wanakuja kutomba misaada kwa kuwachangis, tunawezaje kuwasaidia matapeli wanaoshiriki kutuumiza? Kwakweli asiyejali masuala ya wananchi tumkatae kwa wivu mkubwa
Ni kweli tuliwapa sapoti hadi wakafikia mafanikio, lakini wakishapanda juu wanawasahau waliowainua. Wasanii wanaopuuza masuala ya wananchi na kushiriki kutuumiza hawastahili sapoti yetu.
 
Wanaowapa views, likes na subscribers kwa sana ni vijana ambao hawafuatilii siasa.
Hata kama vijana hawafuatilii siasa, lakini hao hao ndiyo wanahisi athari za maamuzi ya kisiasa kwenye maisha yao ya kila siku kwenye ajira, elimu, huduma za afya, ulinzi na usalama wao na mali zao. Wasanii wasiopigania maslahi ya Wananchi hawastahili sapoti yetu.
 
Hawahisi aisee.

Wengi wanaamini siasa ni jambo la kipuuzi.

Uelewa mpana wa huduma kama bima za afya, ubora wa elimu, mchakato wa ajira nk. hawana.
 
Kwan dfn ya chawa ni ipi..chawa ni yule ana e support ccm tu..uki support chadema we so chawa.
Chawa si yule anayesapoti chama chochote, bali ni yule asiye na msimamo huru. Unaweza kuwa CCM, CHADEMA au chama kingine na bado ukawa na akili ya kujitegemea mbona kuna walio CCM na sio Machawa na Wananchi wanawaunga mkono.
 
Kwani hawana haki ya kuwa na vyama?

Huwa mnafikiria kutumia nini? Yaani kwasababu na rapu rapu nikapiga kasingle kamoja basi nikitaka kuwa mfuasi wa CCM au CDM mnaona Gere? Duuh

Haya susieni nyimbo zangu.

Hizi tabia za kikenya ndiyo hayanaga akili. Kisa Pozee kagombana na Diamond basi eti nyimbo hawasikilizi. Baada ya siku tatu Domo akitoa hit unaviona vimejazana youtube.

Maisha hayahitaji hasira na visirani....kila mmoja ashinde hmasini zake.
 
Kwani hawana haki ya kuwa na vyama?

Huwa mnafikiria kutumia nini? Yaani kwasababu na rapu rapu nikapiga kasingle kamoja basi nikitaka kuwa mfuasi wa CCM au CDM mnaona Gere? Duuh

Haya susieni nyimbo zangu
Umeelewa context au umetoka usingizini chief?

Rudia kusoma.
 
Unataka nielewe unavyotaka niielewe mkuu.

Niambie kuna kosa gani mimi msanii kuwa mfuasi wa Chama chochote?
 
Back
Top Bottom