Nashauri Rais aunde Tume ya Upatanishi

Na naomba katiba mpya iwe ajenda kuu katika hio tume

Ni takwa letu sisi wananchi ,Ni takwa la wakati wa Sasa

Sio hisana ya rais na CCM yake

TUNATAKA KATIBA MPYA Otherwise tutaelendela kumnamga mwendazake kwa uovu alitufanyia na wote walioshirikiana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…