Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Kuna sehemu nimesema wana siasa pekee? Una bahati nimestaafu siku hiziUpatanishi wa nini na nani?
Kwani hii nchi ni ya wanasiasa pekee?
Wacha upumbavu
Ni sahihi pia ni option nyingine nzuri! Na ikiibuka kuwa kuna ambao walidhulumiwa uhai?Njia pekee ya kuleta maridhiano ni kuwafidia wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine kutokana na utawala uliopita.
Nafikiri hukumuelewa! Ana maana kwamba utengano unaousema kwamba iundwe Kamati ya upatanishi - ni wana siasa wanao tengana au kuendeleza huo utengano na visasi! Siyo wananchi wote au watanzania wote, ndiyo maana yake. Na jamii ya Wanasiasa wa kihivyo, ni sehemu ndogo sana ya watanzania wote - kuundiwa Kamati!Kuna sehemu nimesema wana siasa pekee? Una bahati nimestaafu siku hizi
Ni vingedele vichache vinavyofurahia, hasa vingedele vyenye kundu jekundu jekundu.Kuna wengi sana wanashukuru kimyakimya kwa lile dubwana kuondoka
Hahahaha hahahahaha hahahahaha haya! Wana siasa sio sehemu ya jamii kumbe? Siasa sio sehemu ya jamii?Nafikiri hukumuelewa! Ana maana kwamba utengano unaousema kwamba iundwe Kamati ya upatanishi - ni wana siasa wanao tengana au kuendeleza huo utengano na visasi! Siyo wananchi wote au watanzania wote, ndiyo maana yake. Na jamii ya Wanasiasa wa kihivyo, ni sehemu ndogo sana ya watanzania wote - kuundiwa Kamati!
Wewe ungeweza kufungua mdomo akiwa hai? At least hata mimi nilikua naongeaWanasiasa wote naona mnatuchanganya tu,hamna huruma dhidi ya watu maskini,mnajali matumbo yenu na maslahi yenu,hamjawahi kumtumikia mwananchi wa kipato cha chini,hii nchi sio ya kwenu ni ya wote mmepewa dhamana na hawa masikini,mkipata vyeo mnajisahau na mnawategea mgongo hao waliowapa,nyie ni wapuuzi sana msitusumbue,saa hizi kila mtu anafungua domo lake kuongea anachokitaka zamani mlikuwa wapi kama sio unafiki ni nn? Acheni upumbavu na unafiki!
Hahahaha ila kweliKupatana na shetani si kazi ndogo
Wala hakuna kitabu chochote cha Mungu kilichoagizwa tupatane nayeHahahaha ila kweli
Kula like .Wanasiasa wote naona mnatuchanganya tu,hamna huruma dhidi ya watu maskini,mnajali matumbo yenu na maslahi yenu,hamjawahi kumtumikia mwananchi wa kipato cha chini,hii nchi sio ya kwenu ni ya wote mmepewa dhamana na hawa masikini,mkipata vyeo mnajisahau na mnawategea mgongo hao waliowapa,nyie ni wapuuzi sana msitusumbue,saa hizi kila mtu anafungua domo lake kuongea anachokitaka zamani mlikuwa wapi kama sio unafiki ni nn? Acheni upumbavu na unafiki!
Japo kunawaliozoea kuongea kwa tungo tata nimegundua hawawezi kuachaKwa trend inayoendelea sasa, kimya kimya, wazi wazi na pengine kwa sauti zaidi kila kona ya nchi ni dhahiri kuwa kuna watu wana maumivu na vidonda vikubwa sana vilivyotokana na utawala wa Magufuli.
Ni ngumu kusahau Mara moja ila ili kuleta umoja wa Kitaifa NASHAURI iundwe tume au Kamati ya Usuluhishi na Upatanisho kama Taifa.
Tuanze upya kama Taiga, tuanze upya kama ndugu na zaidi tusahau tulipojikwaa, tuangalie mbele zaidi.
Watuhumiwa wanaoweza kuitwa na hata kukutanishwa na familia za Waathirika, waombe msamaha tufungue ukurasa mpya.
Siasa za visasi ni mbaya sana, Rais ajitahidi kufuta hiki kitu, kama tutalazimika hata kurudi tena kwenye uchaguzi Mkuu basi na ikawe hivyo. Tutachangia uchaguzi kama Burundi walivyofanya.
Ni muhimu as a Nation kufanya damage control maana ni wazi kabisa UTAWALA ule ulituumiza, hatuhitaji kubaki hapo kwenye kuumizwa BALI tunahitaji kuendelea na safari tukiwa pamoja.
Mungu Ibariki Tanzania