Vyuma chakavu sio vifaa vya kivitaNimekkuwa nikiona katika sherehe muhimu za Kitaifa majeshi yetu yanaonyesha vifaa vyao vya kivita na umahiri wao katika fani zao. Katika sherehe hizi tunakuwa na wageni mbalimbali na wengine wametoka nje ya nchi yetu na huwa wanashuhudia yote yanayofanywa na majeshi yetu katika sherehe hizi.
Binafsi naishauri Mamlaka kuwa mambo ya kijeshi yabaki ni siri ya nchi yetu na siyo kuwaonyesha wageni vifaru vyetu, ndege zetu za kivita nk. Nimeona nitoe ushauri huo na kama ikipendeza basi tuache kuonyesha mambo yetu ya kijeshi katika sherehe za Kitaifa.
Si ndio hapo mdauMambo yenyewe ya kijeshi mko nayo basi mkuu? Vifaru vya 1980s still vipo hadi leo. Kina South Korea na mitambo yao mizito wanaonesha, sisi ni nani basi tusioneshe
Mambo gani ya Siri ulionyeshwa labda ( Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza . Kuwa na amaniNa mkinunua hakikisheni inabaki kua siri kati yenu na muuzaji otherwise dunia yenyewe haina siri
Isaiah 39:6Nimekkuwa nikiona katika sherehe muhimu za Kitaifa majeshi yetu yanaonyesha vifaa vyao vya kivita na umahiri wao katika fani zao. Katika sherehe hizi tunakuwa na wageni mbalimbali na wengine wametoka nje ya nchi yetu na huwa wanashuhudia yote yanayofanywa na majeshi yetu katika sherehe hizi.
Binafsi naishauri Mamlaka kuwa mambo ya kijeshi yabaki ni siri ya nchi yetu na siyo kuwaonyesha wageni vifaru vyetu, ndege zetu za kivita nk. Nimeona nitoe ushauri huo na kama ikipendeza basi tuache kuonyesha mambo yetu ya kijeshi katika sherehe za Kitaifa.
Hivi mkuu, unajua Rpg hizi hizi wakiwa Nazo raia wahalifu zinatesa watu, Al shaabab hata viatu hawana lakini matendo Yao wakiwa na hivyo vitu unavyosema ni vifaa chakavu unajua hatari yake, nawapongeza sana Jwtz kwa juhudi zao za kuilinda nchi yetuVyuma chakavu sio vifaa vya kivita
Hata nchi zilizoendelea wanaonesha silaha zao kwenye sherehe mbalimbali. Mfano China ,NK na urusi.Nimekkuwa nikiona katika sherehe muhimu za Kitaifa majeshi yetu yanaonyesha vifaa vyao vya kivita na umahiri wao katika fani zao. Katika sherehe hizi tunakuwa na wageni mbalimbali na wengine wametoka nje ya nchi yetu na huwa wanashuhudia yote yanayofanywa na majeshi yetu katika sherehe hizi.
Binafsi naishauri Mamlaka kuwa mambo ya kijeshi yabaki ni siri ya nchi yetu na siyo kuwaonyesha wageni vifaru vyetu, ndege zetu za kivita nk. Nimeona nitoe ushauri huo na kama ikipendeza basi tuache kuonyesha mambo yetu ya kijeshi katika sherehe za Kitaifa.
Al shabab wanasemaje hapo kismayu mmeshawamaliza????Usiri wa jeshi uko katika mifumo mbali mbalimbali ya kiutendaji.....
Ya kawaida, imezuiliwa, confidential,Secret,&Top Secret nk.Nategemea wananchi wasiwe na wasiwasi na Jeshi la Mabeyo. Mizinga,vifaru nk ni vya mwaka 1969 na bunduki AK 47 kwetu Kenya ni bunduki za kiraia.Adui huwezi kumtadhimini kwa parade ya vifaa vya kijeshi
Nadhani zipo silaha ambazo zinaendelea kuwa siri, sio silaha zote zinaweza kuoneshwa.
Lakin pia nchi yetu inahitaji kuongeza bajeti kwenye Jeshi letu la ulinzi ili kuongeza silaha bora zaidi na mafunzo