Nashauri makanisa na misikiti kutoa EFD receipt kwa sadaka ghafi ili kukusanya kodi kwa haki

Nashauri makanisa na misikiti kutoa EFD receipt kwa sadaka ghafi ili kukusanya kodi kwa haki

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Kama kweli serikali inataka kutenda haki ktk ukusanyaji kodi kwa wananchi wake basi ni vyema makanisa na misikiti iwaanze kutoa EFD receipt kwa sadaka ghafi kwaajili ya kulioa kodi.

Nasema hivyo kwa kuwa viongozi wadini wanaitetea serikali badala ya kuttea wananchi kwakuwa wamepewa rushwa tayari ya kutolipa kodi kwenye sadaka na mali wanazoingiza nchini kwa jina la taasisi zao.

Tumeshuhudia kina Mwamposa, Geo Davie, nk wakiishi maisha ya kifahari kwa kuwa hawalipi kodi badala yake wananchi ndiyo wanakandamizwa kulipa kodi kubwa.

Tunajua kuwa kodi wanalipa kwenye baadhi ya miradi yao ya biashara kama nyumba za kupangisha,hostel,nk lakini haitoshi kwani ni kidogo sana hivyo kuwafanya waishi maisha ya anasa.
 
Hata Kama unafanya biashara jitahidi ukwepe kodi kadri uwezavyo ndo utapiga hatua

Unalipa kodi wenzako wanachezea kodi .

Kwepa kodi
 
Kama kweli serikali inataka kutenda haki ktk ukusanyaji kodi kwa wananchi wake basi ni vyema makanisa na misikiti iwaanze kutoa EFD receipt kwa sadaka ghafi kwaajili ya kulioa kodi.
Nasema hivyo kwa kuwa viongozi wadini wanaitetea serikali badala ya kuttea wananchi kwakuwa wamepewa rushwa tayari ya kutolipa kodi kwenye sadaka na mali wanazoingiza nchini kwa jina la taasisi zao.

Tumeshuhudia kina mwamposa,jo davis,nk wakiishi maisha ya kifahari kwa kuwa hawalipi kodi badala yake wananchi ndiyo wanakandamizwa kulipa kodi kubwa.

Tunajua kuwa kodi wanalipa kwenye baadhi ya miradi yao ya biashara kama nyumba za kupangisha,hostel,nk lakini haitoshi kwani ni kidogo sana hivyo kuwafanya waishi maisha ya anasa.
Wewe una akili sana. Haya madude ni manyonyaji ya kawaida yanayojifanya kuoongoza roho. Roho hazihitaji material things. Na kama kulipwa si yalipwe na huyo mungu yanayomfanyia kazi na kutuhadaa kuwa ni tajiri kuliko wote wakati ni unyonyaji na utegemezi wanaotumia kuwaibia mazwazwa na waliokata tamaa.
 
Hata Kama unafanya biashara jitahidi ukwepe kodi kadri uwezavyo ndo utapiga hatua

Unalipa kodi wenzako wanachezea kodi .

Kwepa kodi
Hayo ni mawazo yako,raia rijli hafikirii kukwepa kodi bali kuboresha matumizi ya kodi iliyokusanywa,kukwepa kodi ni usera mavi,badilika!!!
 
Back
Top Bottom