pisi jacky
Member
- Oct 21, 2020
- 32
- 141
Ningependa kuiomba serikali yangu tukufu na njema, kwa miezi hii ya Januari hadi Aprili watoto wawe wanavaa buti za plastic shuleni.
Iweke tu sheria ya buti nyeusi, kwa sababu katika kipindi cha mvua watoto hukanyaga sana maji machafu.
Leo nimekutana na katoto ka darasa la kwanza kamevua viatu kameweka kwenye begi kanakanyaga maji machafu mno, ukikauliza kanasema naogopa viatu vipya vitaloa hakawazi kuugua kanawaza viatu vyake.
So ningeomba serikali ingeweka tu sheria kuanzia chekechea hadi secondary miezi hii wanafunzi wavae buti la plastic, na bei yake ni affordable kwasababu madogo ni elfu tano na yale makubwa ni 9000 lakini kwa wanafunzi wengi wataishia saizi ndogo.
Naomba kuwasilisha hoja