Nashauri dereva wa Lissu apewe ulinzi

Duh mkuu haya maswali inabidi tumsubirie Kamanda Lissu apone au tumpate dereva
 

Mkuu nikuulize swali,

Hivi zile risasi zilivyokuwa zinamiminwa hovyo hovyo unataka kusema yeye hakuwa hatarini kweli?

Hivi ishawahi kupigwa machine gun upo karibu na ukapata ujasiri wa kushika simu?

Naamin dereva wa lissu ana hali mbaya sana kisaikolojia ila naungana na wewe apewe ulinzi lakini sio po[emoji40][emoji40]i
 
Yan akili za mleta uzi zimenishinda kuzielewa,eti dereva hakuwa ktk hatar kubwa angeweza kupiga picha,cha kushukuru ni kwamba mshambuliaji sio professional na ndio maana amepiga risasi nyingi off target na chache alizompata amepiga sehemu zisizo na madhara makubwa ya moja kwa moja,kinyume na hapo angepigwa lissu na dereva pia ili kuondoa chembe ya shaka ya ushahidi.
 
Yan gari ulilomo ndani linapigwa risasi unawezaje kupiga picha?

Umekifkiria vizuri ulichokiandika?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Mkuu hujamuelewa,,kmbka dereva hakuumizwa so wakat majambaz wanasepa labda alitoka akapga picha kwa simu(hii inawezekana) ,na kmbk majambaz inasemekana walikaa muda mwngi wanasubri lissu ashuke ili wamuue so huo muda ni lazm dereva alijua namba,na kingne hilo gari limewafatilia toka bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,what do u mean hakua professional na what do u mean abt off target ? Wakati unaambiwa ilikua ni bunduki kubwa sms au ak47 ambyo walipiga wakiwa ndani ya gari so lazma wakosee (lengo walitak wampigie nje) af utaitaje off target wakati ukiangalia gari matundu yamelenga kichwani na tumboni,,,hii ni bahati tu ya lissu kupona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Off target Nina maana lengo halikuwa kupiga Gari risasi ila kumpata lissu,lissu ndio alikuwa target kwahyo kitendo cha risasi tano tu kumpata Ina maana zingine zimemkosa kwahyo ni off target hazijahit kwa muhusika,unprofessional kwa sababu walikuwa karibu sana na siraha kubwa hawakutakiwa kumkosa na wamemimina risasi nyingi sana hii inaonyesha udhaifu,kumbuka mauaji ya mkuu wa polisi Uganda alikuwa ktk gar kama hivi akauwawa na hazikumwagwa risasi nyingi hivyo lakini aliuwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…