mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Mbona hata Lissu mwenyewe alitishiwa kuuawa, na humu JF kuna uzi na video iiliyomtishia maisha yake na muhusika ameonekana live lakini hakuna hatua iliyochuliwa, ndiyo maana watu wanahisi hii itakuwa ni pombeNatanguiza pole nyingi sana kwa Mh Lisuu pamoja na familia yake kwa tukio baya la kijasusi lenye kuiabisha nchi yetu.
Pamoja na upelelezi unaoendelea,napenda Kuishauri polisi na pia chama cha cdm kutoa ulinzi thabiti kwa dereva wa Mh Lisu .
Kwenye tukio zima kilichotokea huyu ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kusema aina ya gari namba zake hata sura ya wahusika
Kwanza yeye kama dereva hakuwa ktk hatari kubwa kama ilivyo kwa Lisu,alikuwa na muda mwingi hata wa kupiga picha au kusoma namba nk
Maadui kwasasa watakuwa wanamwinda huyu dereva ili kupoteza ushahidi
Naomba jambo hili lipewe kipaumbele
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba wanabadilisha haziwezi kuwa realLabda kwa kuwa walisema gari liliwafuatilia kwa muda anaweza kuwa ameona no yake
Kuna ukweli ndani yakeMbona hata Lissu mwenyewe alitishiwa kuuawa, na humu JF kuna uzi na video iiliyomtishia maisha yake na muhusika ameonekana live lakini hakuna hatua iliyochuliwa, ndiyo maana watu wanahisi hii itakuwa ni pombe
Si ndio hapo jamani? Kwanza hata km alitoka salama nae ni jambo la kushukru sana.Yan gari ulilomo ndani linapigwa risasi unawezaje kupiga picha?
Umekifkiria vizuri ulichokiandika?
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Kweli pombe haijawahi mwacha mtu salama.inabidi ipigwe marufukuMbona hata Lissu mwenyewe alitishiwa kuuawa, na humu JF kuna uzi na video iiliyomtishia maisha yake na muhusika ameonekana live lakini hakuna hatua iliyochuliwa, ndiyo maana watu wanahisi hii itakuwa ni pombe
Akili za watu wa Instagram ndugu yangu. Msamehe bureYan gari ulilomo ndani linapigwa risasi unawezaje kupiga picha?
Umekifkiria vizuri ulichokiandika?
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app