Wagombea kwa nafasi za ubunge na udiwani mchujo wake usizingatie nafasi ya kwanza kwenye kura za wajumbe.
Kwenye udiwani tafuteni watu kama viongozi wa kiroho, watendaji, wakuu wa shule na watu mashuhuri watawapatia wagombea sahihi.
Ubunge pia iwe hivyo hivyo.
Hata mgombea mwenye kura chache za wajumbe bado atakuwa na nafasi ya kuteuliwa na chama.