Nash MC Temeke Show

Nash MC Temeke Show

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
10311052_908797275815370_6468160120060884044_n.jpg

Show ilifanyika jana pale Chuo cha Bandari Temeke, waliohudhuria wanasema ilifana sana...

10672376_791783987527501_6442453251174747365_n.jpg


10374489_791784004194166_2166746586092849277_n.jpg


10641091_791784020860831_5080592206831034541_n.jpg
 
mamammameee imenipita bila kupenda huyu jamaa ni noma
 
Mbona huo mziki ni medume tu siwaoni dada ni mziki gani huo bila ma antiy au ni ndondi za kulepwa na raha ya mziki ni kuwr na mix kati ya mvulana na kasichana ndo kunoga huko
 
Mbona huo mziki ni medume tu siwaoni dada ni mziki gani huo bila ma antiy au ni ndondi za kulepwa na raha ya mziki ni kuwr na mix kati ya mvulana na kasichana ndo kunoga huko
Wacha we!!!
 
Unaweza kuwa profesa kumbe profesa .....

Sanaa ya kibongo inamambo mengi ya k yaani mpaka Leo kawa fatu kawa Dj.

Kama Mambo yanashekesha kwa Mfano kilinge cha fiesta.


Nash mc-Nash Qaida.
 
Nayapenda makundi ya wamwaga damu niite Nash al-Qaeda Nash alshababu Nash haramu.


Nash mc-Qaida.
 
Nipe shavu lako ni kubusu Leo.

"Ndio uko poa,
Hauna doa,

Unaupeo na akili za elimu ya juu unasumbua sana washambenga kitaa,

Kwa urembo wako uliojaa madahaa,
kuna mapedeshe wengi wanapanda madau,

navyokujua wewe kukupata sahau,tusiwachukie tuoneshe dharau,

Wamekosa majibu wanaleta nahau mara nash hivi mara vile.



Mambo unayonipa kama muziki wa bendi.

Nash mc- Homa imenizidia.
 
"Haki za watu zilizo minywa kwenye sheria.

Sheria ni kisu kinakata kinapotaka kinakuacha kwenye utata kinapokata pale hakimu anachokikata"

Nash Mc-kuishi ama kuishia.
 
Nash mc dawa Kali weka mbali na watoto,

Hili sio gazeti la makorocho,hili ni gazeti Motomoto,

Mimi hashimu kubwa,Dogo zama za kale,

Nash mc-Weka mbali na Watoto.
 
Back
Top Bottom