Nasemajee,...Kama Messi ni Mwanaume kweli ahame Barca

Mtoa mada akili zake zimechacha
Hoja imevaa yebo hii,
unahisi Barcelona imembeba messi au messi ndo.ameibeba barca?
unaanzaje kum-doubt mtu anaeibeba club kubwa ulimwenguni?
 
Kabla ya messi..barca haijawahi kushinda club bingwa ya mabara... kabla ya messi barca ilishinda champions league 1 tu.... kabla ya messi barca haikuwahi kushinda makombe ma5 ndani ya msimu 1
Kabla ya Messi Barcelona haikuwa nzuri chini ya akina Ronaldinho na Eto'o hadi walibeba vikombe ambavyo ni marudio kwa Messi? Mahaba yanawatesa sana mashabiki wa Bebwalona [emoji28]
 
Haya kakojoe ulale maana Barca ya kina Ronaldinho hata Messi mwenyewe anaipigia salute, punguza mahaba kwa Messi ili usije kufa kabla ya siku zako wewe [emoji16]
Kabla ya messi..barca haijawahi kushinda club bingwa ya mabara... kabla ya messi barca ilishinda champions league 1 tu.... kabla ya messi barca haikuwahi kushinda makombe ma5 ndani ya msimu 1
 
Messi huwa hamzungumzii mchezaji yeyote in negative way..nimtu ambaye yuko very wise..huwa hapendi kujitukuza...hata wewe ungekuwa unacheza mpira then angeulizwa kuhusu wewe angejibu kuwa wewe nimchezaji mzuri
Haya kakojoe ulale maana Barca ya kina Ronaldinho hata Messi mwenyewe anaipigia salute, punguza mahaba kwa Messi ili usije kufa kabla ya siku zako wewe [emoji16]
 
Aliskika Mario Balotteli baada ya Andunje kubeba Ballon d'Or...
 
Huyo ambaye ni mwanaume ahamie barca na avunje record ya Messi
Alipoingia La liga, huyo mwanaume akavunja rekodi ya kufunga goli nyingi zaidi kuliko mchezaji mwingine yeyote aliyepo na aliyepata kuwepo pale.....Messi akazinduka kutoka usingizini, naye akavunja rekodi msimu uliofuata....

Sasa mtu atoke huko, aje kukufundisha cha kufanya mahali ulipokaa kwa zaidi ya misimu 8?
 
Hoja imevaa yebo hii,
unahisi Barcelona imembeba messi au messi ndo.ameibeba barca?
unaanzaje kum-doubt mtu anaeibeba club kubwa ulimwenguni?
Angeibeba na Argentina ili tukubaliane yeye ndo mbeba timu, kinyume na hapo, yeye ndo mbebwaji....

Timu inasajili atakayeweza kucheza na Messi, atakayekubaliwa na mfumo wa Messi.......mchezaji mvivu uwanjani.

Messi ni ana kila kitu kama mchezaji wa Barca, anao uwezo wa kuchezea mpira, assist, goal getter n.k, yote hayo shukrani kwa timu, haimchoshi.....WC iliyopita, alizidiwa kilometa alizotembea/kimbia uwanjani na Lloris.

Kwahiyo ukitafuta efficiency, akiwa na Barca, ni 99.8%, eneo dogo la uchezaji, matokeo makubwa.....

Nje ya hapo, eneo dogo la uchezaji, hakuna matokeo kabisaaa
 
Malizia kabisa anayepanga kikosi ni yeye
 
Akiwa team ya taifa anafanyaga utumbo tu
 
Unatak aje kweko akuolee mkeo ndo uconfirm uanaume wake au!?🙄mtu ana mke na watoto wa3 bado unataka athibitishe umen wake....NONSENSE 🚶🏿🚶🏿🚶🏿
Bila kusahau "balon'doo" 6 na bado unaendelea kumjudge....mkuu katafute kilinge na tunguri uanze kufanya biashara aseee,umeshafuzu kwenye viwango vya uchawi...🚶🏿🚶🏿🚶🏿
 
Back
Top Bottom