Nasemajee,...Kama Messi ni Mwanaume kweli ahame Barca

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,788
15,682
Mwisho wa kunukuu
Screenshot_20191206-180521_1575644739584.jpeg
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu, Messi ni mzuri ila sio nje ya Barca. Ni kama Man bila babu. Povu ruksaaa, kesho ninahitaji kufua viwalo vya kwendea kuhuji.
 
Mtu anaenda Juve ambayo miaka inachukua ligi mfululizo, unategemea asichukue kombe. Angeenda Sassuolo.
Jamaa anajua wapi pa kuhamia ili afaidi... si angeenda Cagliari tuone huo uwezo wa kunyanyua timu. Kaenda Juve ambayo bila yeye ilonyanyua makombe kama kawaida. Na sasa yupo, hamna kombe la tofauti alilowapa.
 
Hoja imevaa yebo hii,
unahisi Barcelona imembeba messi au messi ndo.ameibeba barca?
unaanzaje kum-doubt mtu anaeibeba club kubwa ulimwenguni?
Kabla ya Messi Barcelona haikuwa nzuri chini ya akina Ronaldinho na Eto'o hadi walibeba vikombe ambavyo ni marudio kwa Messi? Mahaba yanawatesa sana mashabiki wa Bebwalona
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom