Nasema Tena why KALPATARU CO are not paying Tanzanian for Makambako Songea project?

chimbondi

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
392
68
We are continue complaining to kalpataru company from India which was working for power line from makambako to songea , What they did is to sign with small company in Tanzania for piece work with contract and regulations from India , and they did refuse to pay many peoples who was join and work with them cha kushangaza watu wanadhurumiwa lakin hii kapuni inapewa kazi tena huko singida wakawadhurumu tena watanzania very sad tuoneeni huruma watanzania wenzenu hivi mpaka Leo hamjajua tu Mh Raisi nini anataka kweli au makusudi?
 
Wahindi ni wabaguzi wa kutupwa
 
Ndiyo hivyo waziri husika awakabe koo tuliofanya kazi tupo atuite tutampatia uovu mwingine ambao haujui was kampuni hii

Hapo ndipo mnapokosea, mnaficha uovu mwingine na kusubiri mdhurumiwe ndipo mseme, mnajuaje huenda mmedhurumiwa kutokana na kutoficgua uovu uliofanyika mwanzoni, kwa maneno mengine ni kwamba huenda mngefichua uovu mwingine mapema msingelizwa haki yenu
 
Kifupi kampuni hizi za nje zinatakiwa kufuatiliwa kwa ukaribu vinginevyo watanzania wataendelea kuonewa kama enzi za ujima
Viongozi au wasimamamizi wengi wa mradi siyo wazalendo ndiyo maana haya yote yanatokea kampuni kama haijafanya vizuri kwenye mradi A na kwa watanzania kwa nini unawapatia mradi mwingine?
Kama siyo kutumika na hiyo kampuni
 
We are continue complaining to kalpataru company from India which was working for power line from makambako to songea , What they did is to sign with small company in Tanzania for piece work with contract and regulations from India , and they did refuse to pay many peoples who was join and work with them cha kushangaza watu wanadhurumiwa lakin hii kapuni inapewa kazi tena huko singida wakawadhurumu tena watanzania very sad tuoneeni huruma watanzania wenzenu hivi mpaka Leo hamjajua tu Mh Raisi nini anataka kweli au makusudi?

Pole.
Aina ya kina KALPATARU ni wengi na ni kampuni za kihindi. Zama zile walipigiwa chapuo mbele kwa mbele .... REA. Kandarasi za EPC. Lao kubwa ni kuuza MATERIAL. Baada ya kulipwa za vifaa, kwa MABILIONI, wameonesha kotojali tena. Cha ajabu ni kwamba baadhi yao ni blacklisted kwenye nchi zingine. Mfano ni pamoja na ANGELIQUE INTERNATIONAL wenye mradi mkubwa kwenye awamu ya REA III. Licha ya hiyo, wakurugenzi wake ndo wenye kampuni iitwayo EMEC, subcontractors!!

Wenzao ni kina APOLLO, MBH POWER, LUCKY ENGINEERING, .... na wengineo.
Suala: inakuaje wanatuchezea kihivyo?
 
Back
Top Bottom