Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 500
Unamaliza mbegu zako bure, vinyama haviishi dunianiAwali ya yote natumai mu wazima.Nimekuwa nikujiuliza kwa nini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume mfano
Sensa ya mwaka 2012 jinsia ke ni wengi kuliko me
Idadi ya waliojiandiksha kupiga kura 2015 jinsia ke ni wengi kuliko me
Idadi ya watu duniani inaonyesha jinsia ke ni wengi kuliko me
Sasa akinadada mnapolia kwamba tunamichepuko sidhani kama ni haki hebu fikri mme mmoja mke mmoja hao wanawake wanobaki wangepata wapi huduma yao ya msingi? Hivyo basi kwangu mimi michepuko is inevitable. Karibuni nanyi mchangie mawazo yenu juu ya hili.
Afadhali mimba kuliko kimavichepuka ila usitie mimba huko
kweli kabisa kimavi ni tatizoAfadhali mimba kuliko kimavi
Hoja ingalikuwa ni uwingi au uchache wakinadad wasingalichepuka, kila mwanaume anapochepuka anachepuka na dadaAwali ya yote natumai mu wazima.Nimekuwa nikujiuliza kwa nini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume mfano
Sensa ya mwaka 2012 jinsia ke ni wengi kuliko me
Idadi ya waliojiandiksha kupiga kura 2015 jinsia ke ni wengi kuliko me
Idadi ya watu duniani inaonyesha jinsia ke ni wengi kuliko me
Sasa akinadada mnapolia kwamba tunamichepuko sidhani kama ni haki hebu fikri mme mmoja mke mmoja hao wanawake wanobaki wangepata wapi huduma yao ya msingi? Hivyo basi kwangu mimi michepuko is inevitable. Karibuni nanyi mchangie mawazo yenu juu ya hili.
Tunawasadia hawa wenzetu ili wote wapateNi kuchepuka tu maana hakuna namna nyingine
Kumbe ni huduma ya msingi?Awali ya yote natumai mu wazima.
Nimekuwa nikujiuliza kwanini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Mfano Sensa ya mwaka 2012 jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 2015 jinsia ke ni wengi kuliko mimi.
Idadi ya watu duniani inaonyesha jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' sasa akinadada mnapolia kwamba tunamichepuko sidhani kama ni haki hebu fikiri 'me' mmoja mke mmoja hao wanawake wanobaki wangepata wapi huduma yao ya msingi?
Hivyo basi kwangu mimi michepuko is inevitable.
Karibuni nanyi mchangie mawazo yenu juu ya hili.
Tatizo ni kwamba kila mwanaume mmoja akiwa na mke mmoja hawa wanaozidi watapata wapi huduma sitahiki ya ndoaUnachokiacha na kile unachokifuata vyote ladha ni moja.. HESHIMU THAMANI NA HISIA ZA ULIYENAE.
Tena ni zaidi ya msingi ni kukosa tu msamiati wa kutumiaKumbe ni huduma ya msingi?
Aiseee! Haya mkuu.Tena ni zaidi ya msingi ni kukosa tu msamiati wa kutumia