Tupe maaana ya definition ya ya uovu.
hili bandiko linaeleza mantiki na si mfumo dume kwamba kitu fulani mwanamke akifanya ni uovu ila mwanaume sio. Ndio maana inabidi utuonyeshe aidha kwenye maandiko kwamba kuna utofauti wa uovu kwa mwanamke na mwanaume au kisheria au vyovyote vile.
Ni suala Jepesi tu tuonyeshe maana ya uovu kwa mantiki