warembo wengi mnatatizo moja kubwa ila hamjui kuwa ni tatizo linalosababisha muachwe na wanaume. tatizo lenyewe ni kwamba YOU ARE SO INTERESTED IN YOUR BODY THAN YOUR LIFE. mawazo na fikra zenu mmeyaelekeza kwenye kuboresha na kuimarisha uzuri wenu badala ya kuboresha na kuimarisha maisha yenu na mahusiano yenu na wenzi wenu. mnatumia muda mwingi na rasilimali ñyingi kupendezesha mwili wakati ni mzuri tayari sasa sijui huwa mnatafuta nini?
kwa ujumla wengi wenu ni pasua kichwa huwa mnautumia uzuri wenu kama pledge ya kutaka mtendewe vizuri wakati nyinyi hamko hivyo.
ndiyo maana warembo wengi mwisho wenu kimahusiano siyo mzuri sana.
sasa kama princess wewe kama ni mrembo jaribu kujiangalia mwenyewe kwanza kama umewekeza wapi kwenye mwili wako au kwenye maisha yako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.