NASEMA MTAENDELEA KUONGOPEWA MPAKAAA

Mtu akitumiaa ARV Kwa muda mrefu inasemekana kwamba Rapid diagnostic Test especially Kwa wanao Pima HIV not detected bado ijawaa published brother watu wapo kwenye tafiti
 
Naelewa vzr sana tofauti ya HIV na VVU pia tambua kuna aina nyingi za ukimwi
Mkuu njia nzuri ya kuthibitisha tafuta mtu mwenye umeme halafu pita naye peku mara kadhaa tulia kwa siku 28 au zaidi halagu rudi hapa utuambie umeona nini.
 
Mkuu umejib kitaalam Sana.
 
Hapa amna mtaalamu yeyote kuanzia mtoa mada mpaka wachangiaji, as long as ngoma ipo kuwen makini tu na mlio katika grid zingatieni dawa jamani
 
Daktali kashatoa majibu we endelea kupaniki tu!
 
Niwaulize swali wote ambao mnapinga na mnaounga mkono kwamba hiki kipimo kinapima HIV-VVU je ni kwa nini mtu ambaye ameshapima na kugundulika ni muathirika kwa nini anapotumia ARVs baadae akija kupima tena majibu upatikana ni NEGATIVE na bado ataambiwa aendelee kutumia ARVs kama kweli iki kipimo kinapima virusi au HIV-VVU
 
Acha ubishi anza kumeza ARV ulizopewa na daktari, ukiendelea kuwa mkaidi utatamani ufe halafu haitawezekana huo ugonjwa utakusurubu mpaka nukta ya mwisho.
 
Acha ubishi anza kumeza ARV ulizopewa na daktari, ukiendelea kuwa mkaidi utatamani ufe halafu haitawezekana huo ugonjwa utakusurubu mpaka nukta ya mwisho.
Unaonekana umevuta bangi sasa nani aliyekwambia amepima akapata majibu kwamba yupo Postive au kwa sababu wewe tayari umeathirika basi unajua na kila mtu ameathirika pole sana
 
Unaonekana umevuta bangi sasa nani aliyekwambia amepima akapata majibu kwamba yupo Postive au kwa sababu wewe tayari umeathirika basi unajua na kila mtu ameathirika pole sana
Unajua kuathirika ni jambo la kawaida sana siku izi usipende kufokea watu kwa vitu vya kawaida bhana
 
Unajua kuathirika ni jambo la kawaida sana siku izi usipende kufokea watu kwa vitu vya kawaida bhana
Kwa kitu ambacho una ni lazima umwambie ukweli yule anayekulenga
 
Sasa nilichochanganya ni kipi? Antigen sio organism ni kemikali zinazotolewa na CD4 ili kukabiliana na virusi
 
Sasa mtu akiwa infected na HIV for 2 weeks or 3month ana develop AIDs ??
Kipimo hiko kina kemikali ambayo hureact na kemikali Antigen inayotolewa na CD4 ili kukabiliana na virusi vya UKIMWI. Sasa kama kwenye damu yako Antigen ipo ndio sasa itareact na kipimo hiko. Kuonesha kwamba mwili umeshatambua virusi vya ukimwi vipo. Usually mapambano yanaanza mapema sana kiasi kwamba kipindi hiko hata ukipima kiasi cha CD4 unaona kipo normal
 
Mtu akitumiaa ARV Kwa muda mrefu inasemekana kwamba Rapid diagnostic Test especially Kwa wanao Pima HIV not detected bado ijawaa published brother watu wapo kwenye tafiti
Ila virusi vya UKIMWI ni nyoko. Mwili unaweza pambana hadi ukashinda kabisa vita. Virusi vichache vinaingia kwene incubation vinakuwa non-living organisms. Havitoi viashiria vyovyote kuwa vinaishi. Na afya ya mwili inarudi. Hapa hata upime na nini, mtu hana UKIMWI wala VVU. Baadaye vinakuja kuamka tena vinakuhujumu. Kuna recorded cases za waatu kupona UKIMWI only to discover years later bado ni waathirika.
 
Hizi rapid test Ni MOJAWAPO ya vipimo vya kihuni kuwahi kutokea.

Almanusra,
tumpoteze jiran yetualiekua ansumbuliwa na malalia Kali mpk akapoteza fahamu.

Tumempeleka kituo Cha afya, hapo hapo Dokta anasema
."kipimo kinaonyesha Hana malalia, mlaze mpaka asbh kwa vipimo zaidi"

Tukaona, UCHURO HUU
Tukamhamishia kwingine, Dokta kapima bloodslide.

Jamaa anawadudu kibao Sana wa malelia.

Ikabd fasta atundikiwe dripu za malelia Kali.

Baada ya saa moja, jamaa karud kwny Hali yake.

TANGU HAPO, HIVI VIPIMO VYENU VYA EXPRESS HUWEZI NISHAWISHI TENA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…