Naam sasa basi, ni mashirikiano yenye faida tu. Win win situation.Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha
Tumedharauliwa kiasi cha kutosha
Tumepuuzwa kiasi cha kutosha
Tumedhihakiwa kiasi cha kutosha
Tumefukarishwa kiasi cha kutosha
Tumedhalilishwa kiasi cha kutosha
Tumeonewa kiasi cha kutosha
Tumenyonywa kiasi cha kutosha
Tumefanywa kichwa cha mwendawazimu kiasi cha kutosha
Yaani hiyo picha ndo saa100 kaona ufahari mpaka akaja kumpa mtu bandary zote jamaniNaam sasa basi, ni mashirikiano yenye faida tu. Win win situation.
Mama anaupiga mwingi:
View attachment 2651772
Punguza udini kenge weweNaam sasa basi, ni mashirikiano yenye faida tu. Win win situation.
Mama anaupiga mwingi:
View attachment 2651772
Ni unyonge wetu uliotufanya tuwe hivyo, ili tusiendelee kuwa wanyonge, kusema tuu imetosha hakutoshi, kunnahitajika action!, Watanzania sio watu wa vitendo, actions, ni watu wa maneno maneno matupu na vitendo sifuri.Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha
Tumedharauliwa kiasi cha kutosha
Tumepuuzwa kiasi cha kutosha
Tumedhihakiwa kiasi cha kutosha
Tumefukarishwa kiasi cha kutosha
Tumedhalilishwa kiasi cha kutosha
Tumeonewa kiasi cha kutosha
Tumenyonywa kiasi cha kutosha
Tumefanywa kichwa cha mwendawazimu kiasi cha kutosha
Brother Mayala huwa naamini sana artcle zako je...? Ni kweli hizi bandari zina pigwa...??? Na kama ni kweli vipi tufanyeNi unyonge wetu uliotufanya tuwe hivyo, ili tusiendelee kuwa wanyonge, kusema tuu imetosha hakutoshi, kunnahitajika action!, Watanzania sio watu wa vitendo, actions, ni watu wa maneno maneno matupu na vitendo sifuri.
P
Ongoza wewe hizo actions, kaa kabisa mstari wa mbele wengine wafuate.Ni unyonge wetu uliotufanya tuwe hivyo, ili tusiendelee kuwa wanyonge, kusema tuu imetosha hakutoshi, kunnahitajika action!, Watanzania sio watu wa vitendo, actions, ni watu wa maneno maneno matupu na vitendo sifuri.
P
Mimi naongoza Mapambano kwenye front hii Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?Ongoza wewe hizo actions, kaa kabisa mstari wa mbele wengine wafuate.
Naamini wewe Si mrundi hivyo yanakuhusu.
Ni unyonge wetu uliotufanya tuwe hivyo, ili tusiendelee kuwa wanyonge, kusema tuu imetosha hakutoshi, kunnahitajika action!, Watanzania sio watu wa vitendo, actions, ni watu wa maneno maneno matupu na vitendo sifuri.
P