Nasema hivi, Mume anauma!

Mautundu yote wanayokupa wanajifunzia mitandaoni kwa kusoma na kuangalia video hasa porno......smartphone nyoko mdau
Hatari sana Mkuu

Akiamua kukupea, kama una pumzi utakula mzigo hadi uchoke mwenyewe Kwa style Kali tupu 🤗
 
Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.

Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
Inaonekana bado unampenda Mumeo. Kaa naye vizuri mzungumze kabla ukimwi haujaingia ndani. Wasichana wadogo wana mahusiano mengi kwa sababu nyingi angalau angekua dada mtu mzima. MUNGU AKUSAIDIE.
 
Ukweli mchungu kma mtu yoyote yule aliwahi fanya mapenzi kabla ya kuingia kwenye ndoa lazima akiingia achepuke tu ....sababu zile zile zlilomfanya mwanzo afanye kabla hajaingia kwenye ndoa ...tofautisha Kati ya sex na tendo la ndoa huko mmeo anafata sex tu hajaoa
 
Hupiganii mume na wala hupiganii ndoa ILA unafanya kila unaloweza ku-protect your family.
Hapo umekiri kuwa unafanya ambacho unakana kuwa hufanyi.

RELAX.
MUNGU yuko kwenye hatamu, All will be Well.
 
Mpe kazi hiyo Nyundo na genge lake.
 
Una ndoa?
 
Mbaya wako Ni mume wako.
Sasa fanya hivi, chukua simu ya mwanaume ambaye mume wako hamfahamu. Jifanye wewe kwenye hiyo simu Ni mwanajeshi au Askari magereza halafu muandikie mumeo hivi.
Wewe Ni Fulani mtoto wa Fulani unaishi sehemu x unafanya kazi sehemu y umeoa. Una gari aina z unakunywa pombe bar q, kifupi ninakujua kila kitu hata mabosi wako. Unatembea na mtoto kwa jina anaitwa r, huyu mtoto Ni mchumba wangu na mahari nimeshatoa, Kama amekuambia Hana MTU anakudanganya. Kifupi muogope huyo mtoto Kama ukoma maana tumekuwekea mtego kabambe. Tutakachokufanyia tutachukua picha na kuzituma kwa majirani zako na unakofanyia kazi na kwa mkeo.
Hili Ni onyo la mwisho.

Mumeo akipata hiyo meseji utamuona atabadilika na safari za masjid au kanisani zitaongezeka.
Usikose kunishukuru
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…