Nasaka mume

halafu ni mimi na wewe tu
ndo tunaona 'haya maendeleo'
wengine its normal..
i missed you...

Utu uzima huu The Boss...tumeondoka kabisa kwenye factor ya kumpenda mtu kuelekea kwenye kutaka specific features kutoka kwa mtu...its ok...but serious,kama ukubwa wa kiuongo ndo unapewa priority sijui mahusiano yanaelekea wapi....!! This is not normal,maisha ya kwenye porn movie yanafanya watu kutamani vitu vya ajabu.

I missed you more,nakuona kwa nadra tangu nimerejea...lol
 
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.

Mashine kubwa inakaaje kwenye suruari???? be specific bwana. Alafu kwasasa utapata taabu kidogo kumpata mtu wa kukuweka kinyumba kwasababu imegundulika kwamba mnasukuma wenzenu mpaka wafe
 
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.

Weye wataka uume au mume? Watu wa qualities hizo tuko wachache and occupied already!! Sawa na kuatafuta shamba la kununua Oysterbay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom