Nasaha kwa Wanawake

Nasaha kwa Wanawake

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Assalam alykum

MKE CHUKUA NASAHA


(1)Usione Kumtii Mume wako kua Nikero Bali ni Dini na ndio Pepo yako.

(2)Usjaribu Kujitokea Nje bila yakuomba Ruhusa kwa Mume wako.

(3)Usitowe chochote Ndani ya Nyumba ima Kumpa Mtu au Kupeleka Kwenu bila Idhini ya Mume wako.

(4)Usipendelee Kualika Watu Kuja Kwako Bila ya Kumshauri Mume wako.

(5)Usimkaribishe Mtu khaswa Waume Kujiingilia Ndani Bila ya Ruhusa ya Mume wako mwisho Utakuja Juta.

(6)Siri zako Mpe Mume wako Sio Kutoa Nje Utakua ni Khaini na Utavunja Ndoa Yako au Utaleta Utata ndowani.

(7)Mdomo au Ulimi wako Unyoroshe kwa Mume wako Daima Uwe Laini Kwa Mazungumzo na Mume wako Utajionea Raha za Ajabu Ukifanya hilo.

(8)Kua Mpole Wakati Mume wako yuko Juu ili Umteremshe Hasira zake kwani ukipanda na wewe Hasira zako Hapo Shetani Yuko karibu sana kuivunja Ndoa yenu Tahadhari sana na hilo.

(9)Jiweke Nadhifu Kimwili Kwani Sisi Waume Huathirika sana tukiona Mke yuko Msafi Kimwili.

(10)Punguza Maneno Mengi Sana kwa Mume wako Jua Hilo Utakua ni mmoja Uitwae Mke Mwenye Kero.

(11)Hakikisha Kila Siku Mume Akiingia Apendezwa na Kitanda Mlaliacho ,Hapo Mapenzi Hujengeka Kwake juu yako.

(12)Vitu Vitatu Hakikisha sana Unaziweka Mvuto wakila Siku ,Macho yako ima kwa Wanja na Mdomo wako ima kwa kupiga Msuwaki na Miguu yako Nyayo zako Chunga zisiwe kama Msumeno.

(13)Jenga Kila Mbinu za Kumfurahisha Mume wako Akuone Hakuna Mke kama wewe.

(14)Punguza Malalamiko kwa Mume wako

(15)Makosa yalipita Usipendelee kuyarudia au Kuyatajataja Mbele ya Mume wako Ujuwe warudisha Hasira Nyumbani kwako.

(16)Jichunge sana Kupeleka Mashtaka yako Mara kwa mara kwenu ila Likiwa ni Kubwa Lazima Wazee walijuwe Basi Sawa lkn Mambo Madogo madogo Maliza Mwenyewe na Mume wako.

MENGINE MALIZA MWENYEWE HAPO.....
 
Kama wake zetu wangezingatia haya,kwa kweli mifarakano kwenye ndoa ingepungua sana!Tatizo wanawake siku hizi wanaponzwa na wanasiasa na kuwapandikiza uanaharakati ambao kwa kiasi kikubwa ni maangamizo kwa wanawake wenyewe!
 
Hongera, nasubiri na NASAHA KWA WANAUME
 
Wanawake wa sasa hivi hizo nasaha haziwangii,vitandani wanajua kuridhisha ila hata kukaanga vitungui hawajui
 
Siku hizi hawataki sikia haya maneno wanapenda kuwa kama kina Rihanna etc
 
Ndoa ya mkeka wapi!nimtongoza saa hiyo hiyo tukaanza kuishi,acha tu usionjeshwe halafu ukang'ang'ania

pole asee, kwahiyo ukaanza kuishi nae kavaa ngozi ya kondoo we hujui au ndo kaisha kinai ndoa
 
Back
Top Bottom