Nasafisha viwanja, kufyeka mashamba n.k

Nasafisha viwanja, kufyeka mashamba n.k

Habari wakuu, nafanya kazi za kusafisha viwanja, mashamba n.k. Kama una eneo naomba tuwasiliane nikusafishie.

Mimi niko Dar.
Unafanya usafi kwa vigezo vipi?
1. Ukubwa eneo, kwamba kila ekari moja ni shilingi fulani?
2. Kiwango cha uchafu ulioko eneo husika?
3. Umbali toka ulipo mpaka kwenye eneo?
4. Terrain ta eneo ina mchango kwenye bei?

AU ni vigezo vipi?
 
mkuu mimi nafanya usafi kwa heka 30000 kima cha chini, itategemea na shamba ni chafu kiasi gani. Naenda popote kufanya kazi kikubwa makubaliano.
Terrain siyo mtaalamu wa kizungu ngoja niende google.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom