Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

Status
Not open for further replies.
Tutamsitiri kwa niaba yako. In case akizidiwa sasa afanyeje... Kama unaogopa ivo vitu, ni bora umuoe kabisa ndio figisu figisu za wabongo zitapungua. Dem hata hujamvalisha engagement ring alafu unadai una hati miliki naye? Kama vipi kabla hujaondoka mtie pete ya engagement kidoleni ndio tutamuheshim kama shem, hivi hivi lazima apitiwe tu kwani hakuna namna.
 
Ivi unawezaje mzuia mtu asichapwe/chapa ? Akiamua ni yeye tu. Pressure za bure mwajitafutia.
 
Kama mnaaminiana wasi2 wa nn sasa? Ufala tuunakusumbua hujiamini. Kuchapiwa ht ukiwa nae hapo2 aweza chapwa hivi2 na usione picha ilivyoxhezwa. :crazy:
 
Kwa hivyo vitu nilivyomuachi sina wasiwasi ishu ni yeye mwenyewe ndio ananipa head ache

unamuamin ee???????!! Subir bado hujajua kuwa mwanamke hana huruma. Utakuja kufa siku si zako. Usimwamin mwanamke hata kidogo
 
Mkuu kwan ulimkuta bikra? Ww tulia tu haina haja kulalamika na kuumia kwaajili ya mwanamke kwan wakimpanda wataimaliza
 
Na watu mechi za wizi huwa wanajituma kinyama wakufunike mwenye mali, uonekane mjinga mjinga

Duh!!ni kweli tupu.mitindo mbali mbali kama vile mbuzi kagoma,inama tuchimbe mtaro n.k.hutumika kwenye mali za watu.kama mwenyewe unatumia style moja ya'mama robhi rara nikurenge'utalala doro.
 
Nina mawazo tu hapa njiani nikitembea naye wahuni wanaacha shughuli zao wanamuangalia akiwa peke yake ndo kabisaaa ksi ksi ksi haziishi
blaza niamini nikusaidie kumuangalia shemegi...
 
Sasa ule peke ako kwani sumu ile? Acha jamaa wajipigie nao wafaudu

Wee ndio umezidi kunvuruga! Nataka kuibikiri passport baada ya kubahatisha kisafari kwa watu, huu Uzi umenkoroga na wewe ndio umeua
 
kama hataki fiencee wake achapwe tree si amfunge coomer track?
 

Mmmmh! pole maharagwe nayo kila siku yanachosha!
 

Dah! unasafiri kipindi kibaya aiseee!!!! yan must wamchape km vp nenda nae. ukiwa mbali na mpenzi wako na moyoni unasema hakusaliti ni kujifariji moyo but ukweli ni kwamba lazima atoe
 
Umekuja kutangaza mwenyewe JF, hamna namna itabidi uchapiwe kwa uzunde wako..!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…