Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

Status
Not open for further replies.

Hahahahaaa! Roho inaacha mwili.
 

dawa yake ni ndogo mno, ungenunua solex ya bei kali halafu ukafunga funguo ungeenda nazo , hapo mchezo umeishia hapo hadi utakapo rudi full stop no more no less
 

dawa ni kununua solex , funga nenda na funguo, hadi utakaporudi.
 
He hee....let me came dancing with you...
I love dancing, karibu tudance at your risk ila ukipigwa mtama am not responsible looh
Pumpkin songs are soo sweet yuuuhhuuuuuu
 
safari njema, ushauli wangu kwako usifikilie hayo, we nenda tu safari njema bro
 
I love dancing, karibu tudance at your risk ila ukipigwa mtama am not responsible looh
Pumpkin songs are soo sweet yuuuhhuuuuuu

Atakae nipiga mtama anatafuta vita kuu...

I will enjoy dancing na sweet mama.. ha ha
 

kama na wewe unawachapia wenzio , fahamu tu na wewe
muda wako wa kuchapiwa umewadia. Nakutakia mchapio mwema.

NB: kumbuka kuwa Muosha huoshwa .
 



Hana magonjwa ya maabukizi kama kaswende, vvu? Kama yuko fiti itabidi nimtafute nimoe ujumbe kuwa una hofu naye kuibiwa. Naomba namba yake ya simu nikusaidie kumchunga.
 
Atakae nipiga mtama anatafuta vita kuu...

I will enjoy dancing na sweet mama.. ha ha

Hahahahaaaa you bet them eehhh hahahahahaa

Wamekusoma get ready
 
Wanawake hawaaminiki siku hizi uwezi kumwachia vitu vyote hivyo wewe usije ukajuta kumwachia mali zako
 
Ulimkuta bikra? Kama hapana jua atagongwa tu haina jinsi
 
kumbe girl friend mimi nikajua mke hapo mko wengi tu
 
hivi nyie bado amjakoma tu kuwaamini hao viumbe waliomsaliti mungu tena peponi kivulini unadhani atashindwa kukusaliti duniani tena juani...Jinga kabisa unamwachia demu wako kila kitu kwani una ndugu na jamaa wewe unadhani demu wako ni ndugu yako?!

sasa wewe nenda ukirudi usije kuja kulia lia hapa kuwa kauza kila kitu na kishaolewa
 
Hata ukiwa karibu yake unaweza kuchapiwa na wala usijue, in short kama mtu ni mwaminifu hata usafiri mwaka mzima atajiheshimu, lakini kama ni kiruka njia lazima wakusaidie tena mchepuko ndo utakua unadrive gari yako mjini teh teh
 
Aisee bado hujapaa tu maana kwa ku post hii thread ni sawa umechukua mbuzi na kwenda kumkabidhi chui akutunzie mbuzi wako definitely utamkuta mbuzi keshaliwa!
 

nahisi hisi ndio huyo ambaye ana promise na mimi mume wake akiondoka....mh mzewe sitamuacha ntachapa TU
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…