Herymiller
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 613
- 861
mkuu huu mda veeper ushamaliza zoez?Ushauri namba moja.
Rudi kwenye uzi wako mwenyewe
UTAMU WA TABATA: Hook up joint na watoto wazuri, one night stands, kula kuku
Jikumbushe chimbo, kamata binti, mlipe malipo ya miezi sita mkiwa mnapretend kua ni wapenzi.
Ushauri namba mbili.
Nikupe namba ya Vestina?
Bob Sasa hivi nakula pensheni ya kuingia na kutoka gym kuanzia 2013 mpaka 2017.mkuu huu mda veeper ushamaliza zoez?
Gona need it Thanks bossGood luck
Sitafuti formula mkuu natafuta experience kwenye haya mamboHivyo vitu havina formula ndugu yangu bali hutegemeana na hisia hulka mtazamo na background ya mtu
Ni ukweli mchungu kwamba tuahitaji kufanya practical kabla ya kujipiga pingu za maishaNaona unageuza life kuwa maabara, haya ngoja equipment zije pm ukapige prac!! Wish all the best
Gona need itall the best
Hawapo serious wale wanataka kula kuku tu most of them ni one night stand,Ushauri namba moja.
Rudi kwenye uzi wako mwenyewe
UTAMU WA TABATA: Hook up joint na watoto wazuri, one night stands, kula kuku
Jikumbushe chimbo, kamata binti, mlipe malipo ya miezi sita mkiwa mnapretend kua ni wapenzi.
Ushauri namba mbili.
Nikupe namba ya Vestina?
Zoezi gani mkuumkuu huu mda veeper ushamaliza zoez?
Unakuchukulia dar kizembe sio, za kusikia changanya na zakoUpo Dar kumbe!! πππ
Hapo umenihukumu mkuu, nime declare wazi kabisa nataka kujifunza ilitusije kuotezeana muda.Haupo serious.
Hivi mapenzi unayachukulia kirahisi rahisi tu. Eti upate kujua ukisalitiwa inakuwaje.
Hiyo ni gambling na maisha yako. Unaweza kuchukulia its just a game but the heart wants what it wants.
Achana na trial error. Tafuta mdada anza nae mahusiano.Give your all. Do not be afraid to fall in love and treat her right.
If you really like her, get married to her.
Look around at all the happily married couples and their children and remind yourself you won't be forever young.
Good Luck.